Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Wewe nae muongo sasa, embu acha hizi vitu. Zanzibar haina mapato kihivyo bado inakula kwa kwa danga lao Tanganyika.
 
Ww ndio una elimu ndogo.Nachukia Sana watu wanaopenda kutudharau .
 
Wewe nae muongo sasa, embu acha hizi vitu. Zanzibar haina mapato kihivyo bado inakula kwa kwa danga lao Tanganyika.

Kwa hiyo TRA wanapelekea hela SmZ zanzibar sio? Au halmashauri za serikali za mitaa zinaipelekea hela SMZ? punguza Bangi
 
Kwani tanganyika haina autonomy kisheria ndio maana mafuta yamepanda?

Tanganyika haina mamlaka kamili kisheria ndio maana mafuta yamepanda?

Tanganyika hawatumii tumii kodi zao ndio mwana mafita yamepanda mkuu?
 
UP. Ni United Petroleum inamilikiwa na S.S. Bakhressa. Unataka hicho kikampuni kinachonunua mafuta reja reja kishindane na giant anaenunua in huge bulk?
UP. Ni United Petroleum inamilikiwa na S.S. Bakhressa. Unataka hicho kikampuni kinachonunua mafuta reja reja kishindane na giant anaenunua in huge bulk?
Kama huna taarifa za kutosha ni bora ukakaa kimya tu!!kwani zanzibar nzima hiyo bei iko kwenye vituo vya UP, tu?!!mbona hadi pemba kuna vituo vya uchochoroni bado vinauza mafuta kwa bei hiyo?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…