Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Mambo ya chuki yanatoka wapi mkuu? Kuuliza nini kinasababisha tofauti ya bei Kati ya bara na visiwani ndio chuki?
 
Hyo ni chuki tu kwa huyo jiwe, sasa inatakiwa mjibu kero za wananchi, kumsingizia marehemu tumechoka.
 
Mama Kakosa Solution, Angajaribu angalau kukopi kwa wengine wanafamya nn.
Hela yetu nayo inazidi kukosa Thamani kila siku.
 
Umeuliza swali zuri sana. Lakkni chakushangaza kuna majinga yanayofaidika na mfumuko huu wa bei wanakuja na majibu kunya.Hizi ni akili mbofumbofu kabsaa , buree kabsaa!!
 
Usilinganishe Znz na Tanganyika. ZNZ BAJETI yake ni ka trilioni kamoja tu , bara trilioni 30. Znz ni kaeneo kadogo tu kwa hio hio 2600 bado ni kubwa kwa znz
Msafara wa mamba na kenge mpo. Na kwa Tanzania mpo wengi tu.
 
Zanzibar huwa wana tarehe tofauti na bara katika kutoa bei mpya… kwa hiyo bei hii ni ya mwezi wa zamani wakiingia kwenye mwezi mpya watabadili tuuh….
 
Usilinganishe Znz na Tanganyika. ZNZ BAJETI yake ni ka trilioni kamoja tu , bara trilioni 30. Znz ni kaeneo kadogo tu kwa hio hio 2600 bado ni kubwa kwa znz
Sioni logic yako katika hili jibu.

Unamaanisha Znz waliweka hiyo bei ambayo ni juu kwao kwakua walihitaji kuifikia 1T ya bajeti? Walikua wanaweza kununua hata chini ya bei hiyo?
 
Mambo ya chuki yanatoka wapi mkuu? Kuuliza nini kinasababisha tofauti ya bei Kati ya bara na visiwani ndio chuki?
Mwaka 2012 nafikiri Zitto alisema tumekosea kufanya mafuta kua swala la muungano.

Oktoba 2020 chini ya Marehemu Magufuli yaliwekwa makubaliano ambapo Mafuta na Gesi yalitolewa katika swala la muungano.

Hivyo haina haja ya kusema tunataka bei kama yao.

Znz walianzisha kutaka mafuta na gesi viondolewe baada ya kuonekana viashiria vya uwepo wa gesi na mafuta kwa upande wao.
 
Nauliza kwanini kuwe na tofauti ya bei katika nchi moja?
Mkuu usiumize sana kichwa Zanzibar toka enzi na enzi vitu rahisi haswa vinavyoagiza nje ya nchi sio East Africa na wala sio tu mafuta hata magari Zanzibar rahisi, vifaa vya electonic Zanzibar ndo usiseme kuna upungufu kwenye kodi nusu yake kwenye vitu vingi uvionavyo vinavokuwa import. Mbona hayajaanza utawala wake toka Ali Hassan Mwinyi, Mkapa, kikwete, John Pombe mbona hamkusema hayo acheni unafiki mkumbuke ni nchi mbili tofauti na sio kila jambo lipo kwenye Muungano mengine hayapo.
 
Tuuacheni kelele hizi zinachosha tufanye kazi ni ujinga kufananisha Zanzibara na Huku tunakodi nyingi sababu nyingi wafanyakazi wengi, barabara nyingi kila kitu kingi. Jambo jepesi la kufanya ishi kwenye budget yako tumia same amount kwenye fuel punguza trips zisizo za lazima, na kama ulikuwa unasafiri sana punguza safari zisizokuwa za lazima tumia njia mbadala yako mambo mengi kila mtu anaweza kufanya bila kuongeza gharama. Bei ya mafuta haitashuka sababu sio mafuta yetu ila kuna jambo dogo serikali wanaweza kufanya punguza kodi ya Diesel ishuke halafu ongeza kwenye petrol ifidie temp solution.
 
Sawa kabisa Serikali wafanye petrol tsh 5500/= kwa liter na diesel iwe 1000/= kwa liter.
 
Mkuu umeongea kitu cha msingi sana.....muda mwingine nikimsiliza huyu MAHUYEMBA akiwa anahojiwa na vyombo mbalimbali nakuwa nashindwa kuelewa kwamba huyu ndo kakabidhiwa dhamana ya watanzania 50mil+? ..... Anyway kwa kifupi tu nchi iko tehani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…