guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
ahahaha, mkuu umeuaPost Corona Dunia haitabaki kama ilivyo. Kila kitu kinaenda kubadilika...hata huko peponi pamebadilika kuna jam kubwa, maelfu na maelfu ya wageni kila siku.
Alisema tutwangwe bei na tuanatwangwa kwelicha msingi tembea kifua mbere utapunguziwa bei