INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

Vizuri, je bila hilo bando kuwepo je kipi kitapungua au kama mwenye camera kipi sitopata na ni kipi nitaendelea kupata na Mantiki ya kuwa na Cctv ikapabaki kuwa palepale
Bila kuwepo kwa acess ya internet kwenye ROUTER yako itasababisha ukiwa mbali na eneo lako lenye acess ya CCTV camera ushindwe kuona matukio kupitia kifaa chako cha kieletroniki. Zaidi mantiki itabaki palepale kupitia kifaa kinachotunza kumbukumbu yaani HDD (hard drive disk) ambacho kitakuwezesha kuona matukio yako kupitia kifaa chako cha kieletroniki endapo utakuwa tayari umeweka kifurushi cha bando katika ROUTER yako.
 

Asante mno kwa Ufafanuzi
 
Hapo safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…