1. Nani anataka vita mashariki ya kati?
2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku.
3. Nani asiyezijua athari za vita, achilia mbali mashariki ya kati?
4. Siyo sisi tuliowahi kushauriana kuhamia hata Burundi ikibidi?
5. Kumbe haikuwa kutokana na makali ya mfumuko wa bei, chanzo mafuta?
6. Kwamba makapuku sisi tuko tunakenua kushabikia vita?
7. Habari hizi zimfikie yule daktari bingwa wa uchumi:
8. Huu unaweza kuwa ni muda muafaka wa kuanza kutest mitambo.
9. Kwa hakika a test na kushikilia hapo hapo, hadi akili zitukae sawa!
10. Kwamba kama nchi leo tumesheheni vijana wa hovyo washabikia vita, tena mashariki ya kati?
11. Mbona Afrika Kusini wanajiwakilisha vyema kimataifa jama makini?
12. Kumbe sisi kutanguliza "ujinga uliopitiliza" nalo ni dili?
Siyo siri, tutakuwa tumerogwa!