MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Bila ufafanuzi kwa uzi wako huu:
Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa
Posts zako zote ni ushuzi mtupu.
Zombi la dini hebu tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wako ambaye husababisha mchinje watu...
Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...www.jamiiforums.com