Bei za mafuta juu, vita vikisambaa mashariki ya kati

1. Asema mtanzania kijana wa hovyo wakati hata beberu inamfikirisha:

View attachment 2870392

2. Inasikitisha EWURA kuchelewesha dozi!
Bei za mafuta zikipanda, wapiga kura US wanambwaga Biden mwaka huu with immediate effect. Haijalishi kama ndiye aliyesababisha au la.

Hapa kwetu wakulu wanaserereka tu na taarabu ya tangu 1961. Asiyetaka, awapishe, aende Burundi.
 
Bei za mafuta zikipanda, wapiga kura US wanambwaga Biden mwaka huu with immediate effect. Haijalishi kama ndiye aliyesababisha au la.

Hapa kwetu wakulu wanaserereka tu na taarabu ya tangu 1961. Asiyetaka, awapishe, aende Burundi.

Akiingia kichaa Trump mashariki ya kati kutawaka moto maana yule jamaa huwa hacheki na magaidi bora hata Biden mpole kidogo
 
Si ndiyo maana jitihada zao kutafuta suluhisho la haki ili yatokanayo kama haya, yasikusibu hata wewe na bibi yako Magubike kijijini huko?
Acha kuogopesha watu kwa hoja za dhaifu,hebu niambie ni vipi mimi kushabikia/kutoshabikia vita kunapelekea kushusha au kupandisha bei ya mafuta? Na ni vipi huyo South africa yeye hatahusika na huko kupanda kwa mafuta kisa tu hashabikii vita?
 
Acha kuogopesha watu kwa hoja za dhaifu,hebu niambie ni vipi mimi kushabikia/kutoshabikia vita kunapelekea kushusha au kupandisha bei ya mafuta? Na ni vipi huyo South africa yeye hatahusika na huko kupanda kwa mafuta kisa tu hashabikii vita?

Uogopeshwe wewe toto dogo?
 
Wanachofanya ni illogical lwenda kushambulia Yemen badala ya kuishauri israel isimamishe vita ili wayemen waache kushambulia meli zao maana wayemenj wanaweka presha hiyo ila sasa usa na uk wanaona kuzidisha mzozo ndio suluhu sasa air strike zinazuia vipi wayemen wasiingie baharini na kushambulia walengwa wao au kitendo tu cha kufanya vita pengine ya mda mrefu pale red sea ndio itafunga zaidi meli zisipite pale mara nyingi mdudu akitua kwenye kidole huchukui nyundo na kumponda bali unatumia hekima ya kumtoa na kijiti na kumuweka pembeni na kumponda ukitumia nguvu unajiumiza haya yetu macho na masikio ila ni kweli nchi masikini tunategemea mafuta kutoka middle east ndio zitaumia zaidi japo na wao pia wataumia, hope common sense zitawaingia .
 

Hicho ndicho kilichopelekea wengine kususia kura UNSC ambayo hata hivyo haikuidhinisha Yemen kushambuliwa:

Baada ya kukalia veto, Russia yakumbuka shuka kumekucha

Dunia inataka ceasefire ambalo ndilo hitaji la Houthi.
 

Zombi la dini hebu tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wako ambaye husababisha mchinje watu...

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
www.jamiiforums.com
 

Bila ufafanuzi kwa uzi wako huu:

Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

Posts zako zote ni ushuzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…