Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

Kwanza lugha uelewi kinachosemwa halafu jambo la pili ni kwamba kwa kivuli kilichowekwa, mpira umeonekana upo nje ya kivuli kwa maana umezidi kwa asilimia 100
Hiki ndicho kilichosemwa na hao wachambuzi wa kiarabu au ni maoni yako?
 
Var =/= Goal line technology.

Hio ni kazi ya Goal line Technology, ambayo haipo kwetu, kuilamu Var ni kuionea tu.
 
Mimi namlaumu captain wetu

Alizubaa sana alitakiwa kumshinikiza refa akaangalie marudio ya goli kwenye var
Ila kazubaa

Wangekuwa waarabu pangechimbika
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI" - DR LUC EYMAEL 2020
 
Habri hamsa cora blabla hao ni walewale
 
Kuna tofauti kati ya VAR na Goli line technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…