Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

Mess Huwa anafunga kwenye angle ngumu ila penalty anakosa
Anafunga kwenye angle ngumu na goal linakua clear, sasa huyo Domo jekundu kafanyaje palee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao bien sport ni matapeli wa michezo
Wamechakachua matokeo !
 
Kuepush haya ilipaswa wafunge clear goal ili mambo yasiwe mengi.🤣🤣🤣
 
Napata shaka ikiwa mnapata japo muda wa kuhudumia ndoa zenu kwa kukeshea mamipira.
 
Anafunga kwenye angle ngumu na goal linakua clear, sasa huyo Domo jekundu kafanyaje palee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama ushabiki, usikufuru uumbaji wa Mungu. Mbona sisi tunakujua hatukukufuru? Sio vyema na haina afya. Hujafa hujaumbika dogo.
 
Goal line technology haiuhusiki na mpira uliotoka nje sehemu ambayo sio golini.

Japan mpiea ulionekana umetoka nje sehemu ya nje ya goli wakati jamaa anapiga kross ambayo ilizaa goal.

Hivyo VAR ndio iliyotoa uamuzi sio goal line technology
Si Kweli unless hujui Goal line technology inafanyaje kazi. Fifa wenyewe walisema walitumia Goal line technology

FIFA said on Twitter on Friday that Japan’s second goal “was checked by VAR to determine if the ball had gone out of play” and added that video match officials had used goal line camera images “to check if the ball was still partially on the line or not”.
Goal line technology ni Camera ambazo zinamulika mpira kwa angle zote, kushoto, kulia, mbele, nyuma, juu etc.
Source
 
UJunga tu ... Au hujui kila taasisi lazima iwe na media inayoweza kuclear upepo mbaya?. Alafu kuanzia Leo yanga hatutaki kushinda na timu ambayo unaugua unyavuzi... Timu imeshiriki zaidi ya Mara 4 robo fainal haina la maana. Mkiambiwa yanga ni kubwa muwe mnaelewa ...
 
Hata kama ushabiki, usikufuru uumbaji wa Mungu. Mbona sisi tunakujua hatukukufuru? Sio vyema na haina afya. Hujafa hujaumbika dogo.
Kwani hana mdomo mwekundu? Nimekufuru wapiii?
Km unanijua, wee sema tyuuh madhaifu yangu unayoyafahamu, wala co shida,
 
😂Video yenyewe imedownlodiwa watu wana discuss offline video, hawapati engagement kwa style hii.
Video na footage za mchongo ambazo possibly zishachezewa.

Ibakie kuwa ni goli la utata.

Nashauri CAF na vilabu kuhakikisha uwepo wa Goal line Technology au VAR iboreshwe ili ndani yake kuwe na GLT. Africa tunajibakiza nyuma sana.
Chief-Mkwawa hivi ipi more costly ku-install kati ya VAR na GLT?
Binafsi naamini lile lilikua ni goli halali.
 
Ina cost kama $260,000 ku install mkuu, wakijibana it's possible kuweka viwanja vikubwa.
 
Kama walivyofanya Al Ahly sio.
Yes, kama walivyofunga Al Ahly na walivyokataliwa moja wakafunga mengne mawili hivyo wakapita bila wasiwasi sio timu mechi nzima inapiga shuti moja tu golini refa anakataa sio goli mnabaki mnalialia kila sehemu tumedhulumiwa
Mnafika kwenye matuta mnapiga piga tu kama wachezaji wa daraja la kwanza mnatolewa mnalia na refa sasa mlitaka refa awapigie penalty
 
Video yao wanayochambua ni tofauti na hii video. Kitu kipo wazi kabisa wao wanabuma buma
 
Attachments

  • NHhrcqrRQy_Q3mkB.mp4
    305.6 KB
Back
Top Bottom