Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Timu yako ya Simba ndio timu pekee iliyofungwa ndani nje katika hatua ya robo fainali tena ndio mnaongoza kwa kufungwa magoli mengi. Unaacha kujadili habari yako unatafuta faraja kwa matokeo ya mechi ya Yanga.Yes, kama walivyofunga Al Ahly na walivyokataliwa moja wakafunga mengne mawili hivyo wakapita bila wasiwasi sio timu mechi nzima inapiga shuti moja tu golini refa anakataa sio goli mnabaki mnalialia kila sehemu tumedhulumiwa
Mnafika kwenye matuta mnapiga piga tu kama wachezaji wa daraja la kwanza mnatolewa mnalia na refa sasa mlitaka refa awapigie penalty