Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

Unaongelea world Cup kwa mechi za mla mihogo
 
Wameshapokea bahasha toka kampuni za betting.
Zile odds walizopewa Yanga siyo mchezo, kampuni zingefilisika.

Motsepe tunamsingizia tu.
Fungukeni macho.
 
Var =/= Goal line technology.

Hio ni kazi ya Goal line Technology, ambayo haipo kwetu, kuilamu Var ni kuionea tu.
Wabongo wana shida sana yakuelewa nakufwatilia jambo.Kuna watu hadi leo hawajui kua hiyo Var inamatukio na taratibu zake.
 
Mwamba huyu hapa....

Mungu akuweke maana umetufanyia wema mkubwa Sana.....
 
Nyie hata goli la utata liko wapi?

Mmepigwa nje ndani !!
Tatizo katika knock out stage, hakuna anayeangalia umetoka vipi. Ukitolewa unasahauliwa hapo hapo, yaani ni sawa na marehemu akishazikwa
 
Yaani wewe kujua ni goli au sio goli mpaka ufafanuliwe?
 
Var =/= Goal line technology.

Hio ni kazi ya Goal line Technology, ambayo haipo kwetu, kuilamu Var ni kuionea tu.

Goal line technology haiuhusiki na mpira uliotoka nje sehemu ambayo sio golini.

Japan mpiea ulionekana umetoka nje sehemu ya nje ya goli wakati jamaa anapiga kross ambayo ilizaa goal.

Hivyo VAR ndio iliyotoa uamuzi sio goal line technology
 
Sasa bein sport itafute umaarufu kupitia utopolo,yanga
Hakuna sehemu nimesema inatafuta umaarufu. Nimesema wanatafuta fans engagement kupitia hiyo mitandao tajwa hasa kwa timu yenye mashabiki wengi East Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…