Majeraha ya Mguu yamepelekea Kifo?Msiba umetokea Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu, Majeraha ya mguu .
Mumeo ana kazi sanaKafa akiwa anaiwadai GSM pesa za kuvaa nembo yao. Familia ifuatilie haki yake. Nawakilisha.
D😀😀😀😀,,, unawachokoza.Kafa akiwa anaiwadai GSM pesa za kuvaa nembo yao. Familia ifuatilie haki yake. Nawakilisha.
Nadhani hili halikusababishwa na injury ya mpira aisee!!
Haiingii akiliii...mtu amecheza mechi za hivi karibuni....majerehaa ya mguu wapi na wapi? toeni taarifa kamiliBeki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu.
Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
View attachment 2116314
pumzika salama kakaBeki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu.
Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
View attachment 2116314
Unamaanisha nini Mkuu?Naona wajanja washa pita na mtu wao