Anerlisa waliachana mdaa kumbe hata zile picha za harusi ilikuwa kitambo na demu ndio aliyempiga kibuti jamaa,inasemekana huyu jamaa kwa sasa anatoka na mwarabu msimamo mkali wa kidin mbaka kavutwa kinguvu kwenye din hiyoHow?
Kwani mkewe Annelisa muislam?
Acha kujidanganya wewe ronaldo na messi ni wakristo safii kabisa tena wanamiliki makanisa yao kabisa na wamewajengea na wengine google uone makanisa hao ni wakristo safii kabisa hata trumpAmefuata ule utaratib unapatikana kwa waumini wengi wa kiislam. Nasikia hata Ronald, Messi na wengine wameslimu. Kila la heri wana wa mtume Mohammad salaleh wasalam
Huyo kadanganywa na demu wa kiarabu,mama yake amestuka kusikia hilo mbaka sasa anaumwa na jamaa anaogopa kwenda kwaoKila mtu hufuata njia aionayo sahihi, ni vyema na haki.
Waislam wanapambana sana kupata watu maarufu ili wawatangazie din yao wapo radhi wawanunue kwa pesa ndefu mfano janet jackson lakin karudi kwenye ukristo na kuna muarabu anachimba mafuta alimganda rihana ila akashindwa akaishia kupigwa pesa yake ya mafuta,hapa bongo kuna wolper naye aligaramiwa magari but amerudi ukristo kifupi kwa waislam wanaonekana wazi wanatumia mbinu ili iwe hivyo hata huyu ben pol inasemekana kuna mwarabu kamtekaWaislamu ni inferiority complex.. Bado wana ushamba sana
Sehem sahihi wapi kuna dem wakiarabu kamdanganya huyo kuhusu kusema kafata din ni unafiki coz mwezi uliopita alikuwepo kwenye kipindi cha gospel akiojiwa wimbo wake wa ebeneza ni gospel kabisa,huyo kanunuliwa na mwarabu atarudi tuMkuu sababu za kubadili dini ni nyingi sio ndoa tu, labda kaona alipokuwa hakuwa sehemu sahihi
Sehem sahihi wapi kuna dem wakiarabu kamdanganya huyo kuhusu kusema kafata din ni unafiki coz mwezi uliopita alikuwepo kwenye kipindi cha gospel akiojiwa wimbo wake wa ebeneza ni gospel kabisa,huyo kanunuliwa na mwarabu atarudi tuMkuu sababu za kubadili dini ni nyingi sio ndoa tu, labda kaona alipokuwa hakuwa sehemu sahihi
Huyo atakuwa alivyojitambua akarudi ukristo wapo wengi wahivyo ila waislam wakiingia ukristo huwa hawarudi mfano kadjanito,hafsa kazinja,sitti mtemvu, nk ila angalia walioingia uislam wakarudi ukristo anty ezekiel,wolper,frola mvungi nkIlikuwa ni form 4.tulipomaliza tukapoteana.
Ila naamini bado atakuwa ni muislam.
Duuu! Sasa mtu kama siti kwenye uislam wanini yule?Huyo atakuwa alivyojitambua akarudi ukristo wapo wengi wahivyo ila waislam wakiingia ukristo huwa hawarudi mfano kadjanito,hafsa kazinja,sitti mtemvu, nk ila angalia walioingia uislam wakarudi ukristo anty ezekiel,wolper,frola mvungi nk
Kama dini haikuhusu na huijui ni bora ukae kimya coz utachekwa kwa dharau wewe fata din yako tuAliyekwambia yesu alikufa msalabani ni nani?
Huyo dem wa kiarabu umemuona wapi? anaitwa nani au ni mastory tu.Sehem sahihi wapi kuna dem wakiarabu kamdanganya huyo kuhusu kusema kafata din ni unafiki coz mwezi uliopita alikuwepo kwenye kipindi cha gospel akiojiwa wimbo wake wa ebeneza ni gospel kabisa,huyo kanunuliwa na mwarabu atarudi tu
Hayo yanakutoka baada Ben kuingia uislam au? Islam hapotezi pesa yake kumbadilisha mtu dini kinachofanyika ni mtu anaelezwa ukweli dini inasema hivi na yeye akikubaliana na maelezo anabadili basi.
[/QUOTE
Hajafata din huyo kuna dem wakiarabu kampa gari na ndio mpenzi wake kiufupi kashawishiwa kwa pesa coz walivutana kidin mda mrefu demu huyo wakiarabu akawa anamwagia pesa sana
Mkuu mbona kama umeumia sana,Sehem sahihi wapi kuna dem wakiarabu kamdanganya huyo kuhusu kusema kafata din ni unafiki coz mwezi uliopita alikuwepo kwenye kipindi cha gospel akiojiwa wimbo wake wa ebeneza ni gospel kabisa,huyo kanunuliwa na mwarabu atarudi tu
Mmmmh si kweliSi kwa Anerlisa ila mwarabu wa Dubai. Kwani Anerlisa walishaachana mda sana.
Huyo atakuwa alivyojitambua akarudi ukristo wapo wengi wahivyo ila waislam wakiingia ukristo huwa hawarudi mfano kadjanito,hafsa kazinja,sitti mtemvu, nk ila angalia walioingia uislam wakarudi ukristo anty ezekiel,wolper,frola mvungi nk
Kama dini haikuhusu na huijui ni bora ukae kimya coz utachekwa kwa dharau wewe fata din yako tu
Kwanini MNALAZIMISHA kuwa yesu alikufa msalabani.?
kwanini unakataa??