Anerlisa waliachana mdaa kumbe hata zile picha za harusi ilikuwa kitambo na demu ndio aliyempiga kibuti jamaa,inasemekana huyu jamaa kwa sasa anatoka na mwarabu msimamo mkali wa kidin mbaka kavutwa kinguvu kwenye din hiyoHow?
Kwani mkewe Annelisa muislam?