mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tupe jibu alifia wapi
Kumbe best siku nyingine huwa unaficha ujinga wako mkuu
Hongera aise3
Vipi bado yupo kwenye mstari ?
Dada, hadhi yako wewe ni kubwa kuliko zetu. Mijadala hii tuachie Sisi wewe jiepushe nayo mkuuMfalme tu amerudi kuipbad taarabu
Aamyn aamynMashaAllah ni jambo jema Binamu. Allah amuongoze katika kutenda yale yaliyoamrishwa ndani ya Uislam.
Ukristu ni tamaduni za wazungu??Dini ni utamaduni wa jamii flani tu......
Hivyo hakuna dini sahihi duniani sababu kila jamii ina tamaduni zao.......
Sisi waafrika ndo wajinga sababu tulipokea tamaduni za watu tukaacha tamaduni zetu.....ujinga....
Uislam ni tamaduni za waarabu.......
Ukristu ni tamaduni za wazungu.......
Africa pia tuna tamaduni zetu .....
Hivyo kuamini juu ya ukristu na uislam ni utumwa .....
Wake up AFRICA
Jambo zuri na kapendeza.
we bado mdogo sana kuelewa hizi mambo, tuliaWaislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.
Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.
Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?
By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Mwana muziki maarufu nchini Tanzania Ben Paul amebadili dini na kuwa muislama
Mkuu sababu za kubadili dini ni nyingi sio ndoa tu, labda kaona alipokuwa hakuwa sehemu sahihiOppss shukrani kumbe sio kwa ajili ya mkewe
Sasa kabadili kwa sababu zipi, maana nikihisi kwa ajili ya ndoa
Ebu tueleze nguvu iliyotumika kwa benadi paulo maana wengine tumestuka kashabadiliWaislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.
Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.
Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?
By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Daaah! Wewe jamaa zinakutosha kweli? Aliyekwambia waislam wanamfata imaam ni nani?Imamu shoga aliyejitangaza wazi na mwenye waumin wengi zaidi USA
Wataka kuwafahamu wengine yakhee?View attachment 1610110