Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Karibu sana Ben kwenye dini ya HAKI. Wewe ni mpya sasa.

‘Amr ibn al-‘Aas alikuwa mshirikina muabudu sanamu, mtenda dhambi na adui wa wazi wa Allāh. Alisema:
َ ﻟَﻤَّﺎ ﺃَﻟْﻘَﻰ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﺰَّ ﻭَﺟَﻞَّ ﻓِﻲ ﻗَﻠْﺒِﻲ ﺍﻹِﺳْﻼﻡَ ﻗَﺎﻝَ ﺃَﺗَﻴْﺖُ ﺍﻟﻨَّﺒِﻲَّ ﺻَﻠَّﻰ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻠَﻴْﻪِ ﻭَﺳَﻠَّﻢَ ﻟِﻴُﺒَﺎﻳِﻌَﻨِﻲ ﻓَﺒَﺴَﻂَ ﻳَﺪَﻩُ ﺇِﻟَﻲَّ ﻓَﻘُﻠْﺖُ ﻻ ﺃُﺑَﺎﻳِﻌُﻚَ ﻳَﺎ ﺭَﺳُﻮﻝَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺣَﺘَّﻰ ﺗَﻐْﻔِﺮَ ﻟِﻲ ﻣَﺎ ﺗَﻘَﺪَّﻡَ ﻣِﻦْ ﺫَﻧْﺒِﻲ ﻗَﺎﻝَ ﻓَﻘَﺎﻝَ ﻟِﻲ ﺭَﺳُﻮﻝُ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺻَﻠَّﻰ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻠَﻴْﻪِ ﻭَﺳَﻠَّﻢَ ﻳَﺎ ﻋَﻤْﺮُﻭ ﺃَﻣَﺎ ﻋَﻠِﻤْﺖَ ﺃَﻥَّ ﺍﻹِﺳْﻼﻡَ ﻳَﺠُﺐُّ ﻣَﺎ ﻛَﺎﻥَ ﻗَﺒْﻠَﻪُ ﻣِﻦْ ﺍﻟﺬُّﻧُﻮﺏِ . " ﺭﻭﺍﻩ ﺍﻹﻣﺎﻡ ﺃﺣﻤﺪ 17159

“Wakati Allāh alivyoniwekea upendo wa Uislamu kwenye moyo wangu, nilimwendea Mtume(ﷺ) kwaajili ya kutoa kiapo changu cha utii kwake. Aliukunjua mkono kunielekea, lakini nikasema: sitatoa kiapo cha utii, ewe mjumbe wa Allāh mpaka unisamehe makosa yangu yaliyopita. Kisha Mtume akaniambia: Ewe 'Amr‘, hivi hujui kuwa Uislamu hufuta dhambi yoyote iliyotendwa kabla yake.” (Imesimuliwa na Imām Ahmad, 17159).
FB_IMG_1603514168693.jpg
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Sentensi ya mwisho umekosea sana, Mungu yupo
 
Back
Top Bottom