Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Wale waliomsulubu yesu NAO WAPO KATIKA HILO KUNDI LA KUSAMEHEWA?
siyo "dhambi zenu" bali "dhambi zangu mimi na wewe".


Yehova anastahili pia utii wetu. Ametuamuru tusiache kukusanyika pamoja, hasa katika nyakati hizi za mwisho. Yehova anafurahi tunapotii kwa hiari amri hiyo. (1 Yoh. 3:22) Anatambua na anathamini jitihada tunazofanya ili tuhudhurie kila mkutano.—Ebr. 6:10.

"msiache kukusanyika kama ilivyo desturi
 
Wanawake wananguvu sana. Sio bure, baada ya kukutana na huyu annerisa kila kitu kila kitu kimebadilika.
 
Sio bure watu hufeli mitihani au Interview kwa vitu vidogo; Kabla ya kuanza matusi ungeuliza kafir maana yake ni nini?
Kafir ni neno la kiarabu lenye maana ya mtu anayefuata taratibu/au msimamo tofauti na wewe; sasa hapo nini cha ajabu???
Kuna ulazima wa kutumia neno kafir, ikiwa unaona unawakwaza wengine
Sio wote wanaelewa hicho kiarabu, ikiwa kwao inatafsiri mbaya jizuie mkuu kutumia

Tujifunze kuheshimu hisia za watu wengine
 
Katika maisha yangu kitu ninachojivunia ni kuna siku nilimsilimisha rafiki yangu nikampeleka Hadi msikitini.
Nikikumbuka uwa nafurahi Sana
Alikuwa anaitwa imanuel akabadili akawa Mohammed

Kumbe best siku nyingine huwa unaficha ujinga wako mkuu
Hongera aise3
Vipi bado yupo kwenye mstari ?
 
Nawaza sana kitu chenyewe hiki nikikiangalia, yani kashimo , unapata kajoto tu hapo na kusisimka ndio ubadili dini yako ili upate hako kajorto?
Dah..... Mungu atusaidie tubadili maamuzi ya kichwa kidogo yani kinaweza kukutoa usiku wa manane na ukajikuta unatembea 3km usiku kutekeleza maamuzi ya kichwa kidogo.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Ametoka kwenye dini ya mfanya biashara ya utmwa mmoja ameenda kwa mwengine.. Bado ni mtumwa wa miungu ya kigeni
 
Back
Top Bottom