Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hivi unajua mpumbavu huwa hajijui kama yeye ni mpumbavu? na mtu huyo ni wewe. chadema ni chama tu kama vyama vingine, kama sisiemu tu,nacho kinapambana kupata madaraka ili wale keki. ni siasa tu hizi, wala hakuna anayepigania taifa lake moja kwa moja. majority wanapigania tumbo, familia na utajiri. kupigania taifa ni ngao tu ya kuonyesha mbele za watu.Mmebaki walalamishi wa mitandaoni tu zaidi ya hapo hakuna kitu. Ndo mana hiki chama cha kijani kitakaa madarakani siku zote kwa sababu ya aina ya wanaume wapumbavu tuliokuwa nao.
Yan kwenye ww1 na ww2 mngepotezwa nyie
Wapigania ukombozi wangekua na mawazo kama yako tungechelewa kupata uhuru...Kama mtu unajua hatari iliyopo katika kukosoa ni bora uache ili kulinda uhai wako, UHAI hauna SPARE. Lazima kama mtu mwenye akili timamu ujue hakuna kitu muhimu kwako kama UHAI.
Tutakutafuta kusaidia uchunguziCHATU WA CHATTLE ALIMPOTEZA BEN SAANANE.
Vp kuhusu jiweKila nikisoma hili bandiko naamini, Ben angeweza kuwa hai kama tu angezingatia kanuni kuu ya maisha nayo ni USICHEZEE UHAI WAKO KWA VITU AMBAVYO UNAWEZA KUACHANA NAVYO.
Wote tutaishia kwa muumba mmoja ambaye ndiye mtoa hukumu aliyedhulumiwa atalipwa na alliyedhulumu atalipwa.Kilichommaliza ni kujaribu kuonyesha kuwa Raisi wa nchi alifoji PHD, hebu jiulize ilikuwa inamsaidia nini!?.., tatizo ni kulewa sifa. Alijiona mwanaharakati kuliko watu wote matokeo yake akapotea. Hata leo hii ukianzisha ligi ya kuhoji vyeti vya mama Samia mitandaoni tena Kwa Jina halisi ukijaribu ku prove kuwa ni feki, Kuna kikosi maalum kitakupoteza tu pengine hata bila Raisi mwenyewe kujua. Tena huyu ana bahati alipewa na warning kabisa akaleta story za Aluta continua.. matokeo yake akasalimiana na chatu. Hapa duniani pambana ku survive achana na story za kufa kishujaa, kufa ni kufa tu. Ishi Kwa hekima,busara, akili nyingi huku ukimuomba Mwenyezi Mungu akuongoze.
Vinginevyo mabaki yake yakazikwe kwa heshima zote kwao.Hivi kweli Ben Sanane ndiyo hatutamwona tena!! Chonde chonde kama amewekwa mahali fulani kwa sababu yoyote ile tuonesheni hata sura yake na sauti yake tu hata kwa dakika moja tujiridhishe kuwa bado yuko hai!
Tutakutafuta kusaidia uchunguzi
Kila nikisoma hili bandiko naamini, Ben angeweza kuwa hai kama tu angezingatia kanuni kuu ya maisha nayo ni USICHEZEE UHAI WAKO KWA VITU AMBAVYO UNAWEZA KUACHANA NAVYO.
Kama mtu unajua hatari iliyopo katika kukosoa ni bora uache ili kulinda uhai wako, UHAI hauna SPARE. Lazima kama mtu mwenye akili timamu ujue hakuna kitu muhimu kwako kama UHAI.
Kilichommaliza ni kujaribu kuonyesha kuwa Raisi wa nchi alifoji PHD, hebu jiulize ilikuwa inamsaidia nini!?.., tatizo ni kulewa sifa. Alijiona mwanaharakati kuliko watu wote matokeo yake akapotea. Hata leo hii ukianzisha ligi ya kuhoji vyeti vya mama Samia mitandaoni tena Kwa Jina halisi ukijaribu ku prove kuwa ni feki, Kuna kikosi maalum kitakupoteza tu pengine hata bila Raisi mwenyewe kujua. Tena huyu ana bahati alipewa na warning kabisa akaleta story za Aluta continua.. matokeo yake akasalimiana na chatu. Hapa duniani pambana ku survive achana na story za kufa kishujaa, kufa ni kufa tu. Ishi Kwa hekima,busara, akili nyingi huku ukimuomba Mwenyezi Mungu akuongoze.
"Mungu ameamua ugomvi, bahari imetulia" NAPE 2022.Dunia Mapito
Wewe ni mjinga now you seeduh, hizi kiki hizi! unajitumia SMS ili uje uandike makala zisomwe na watu wengi
We NI chokoduh, hizi kiki hizi! unajitumia SMS ili uje uandike makala zisomwe na watu wengi