Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Mmebaki walalamishi wa mitandaoni tu zaidi ya hapo hakuna kitu. Ndo mana hiki chama cha kijani kitakaa madarakani siku zote kwa sababu ya aina ya wanaume wapumbavu tuliokuwa nao.
Yan kwenye ww1 na ww2 mngepotezwa nyie
hivi unajua mpumbavu huwa hajijui kama yeye ni mpumbavu? na mtu huyo ni wewe. chadema ni chama tu kama vyama vingine, kama sisiemu tu,nacho kinapambana kupata madaraka ili wale keki. ni siasa tu hizi, wala hakuna anayepigania taifa lake moja kwa moja. majority wanapigania tumbo, familia na utajiri. kupigania taifa ni ngao tu ya kuonyesha mbele za watu.
 
Kama mtu unajua hatari iliyopo katika kukosoa ni bora uache ili kulinda uhai wako, UHAI hauna SPARE. Lazima kama mtu mwenye akili timamu ujue hakuna kitu muhimu kwako kama UHAI.
Wapigania ukombozi wangekua na mawazo kama yako tungechelewa kupata uhuru...
Kanuni na taratibu za kijeshi hazitufundishi kua waoga...
We live once we die once..kinacho kufa ni mwili huwez kuua ukwel au mawazo....
 
WAKUU

Kupotea KWA Ben

Ni uthibitisho kuwa elimu yetu inahitaji reform kubwa Sana

Ni uthibitisho Elimu yetu ni ya hovyo,haifai,sio ya kujivunia ni outdated Sana.

Wizara ya elimu Ndio imemuua Ben na kumpoteza!

Isingefumbia macho PhD za mchongo leo Ben angekuwa hai!!

Mamlaka za Elimu nchini zifanye kazi yake KWA hili!!
Asante
 
Kilichommaliza ni kujaribu kuonyesha kuwa Raisi wa nchi alifoji PHD, hebu jiulize ilikuwa inamsaidia nini!?.., tatizo ni kulewa sifa. Alijiona mwanaharakati kuliko watu wote matokeo yake akapotea. Hata leo hii ukianzisha ligi ya kuhoji vyeti vya mama Samia mitandaoni tena Kwa Jina halisi ukijaribu ku prove kuwa ni feki, Kuna kikosi maalum kitakupoteza tu pengine hata bila Raisi mwenyewe kujua. Tena huyu ana bahati alipewa na warning kabisa akaleta story za Aluta continua.. matokeo yake akasalimiana na chatu. Hapa duniani pambana ku survive achana na story za kufa kishujaa, kufa ni kufa tu. Ishi Kwa hekima,busara, akili nyingi huku ukimuomba Mwenyezi Mungu akuongoze.
Wote tutaishia kwa muumba mmoja ambaye ndiye mtoa hukumu aliyedhulumiwa atalipwa na alliyedhulumu atalipwa.

Mungu ni wa wote ukipanga yeye anajua.

Tatizo lá Magufuli hakujua kwamba ukimpangia mwenzako kifo kwasababu ya utofauti wa mawazo na wewe utakufa.

Ameua kwasababu anamamlaka na yeye amekufa na mamlaka yake.

Tusijisahau kwasababu nyuma yetu kuna mabaunsa na mabunduki.
Nilifikiri kwamba mabaunsa wangeweza kumzuia mtoa roho ili Magufuli asife kwasababu anamamlaka.
 
Hivi kweli Ben Sanane ndiyo hatutamwona tena!! Chonde chonde kama amewekwa mahali fulani kwa sababu yoyote ile tuonesheni hata sura yake na sauti yake tu hata kwa dakika moja tujiridhishe kuwa bado yuko hai!
 
Vinginevyo mabaki yake yakazikwe kwa heshima zote kwao.
 
Kila nikisoma hili bandiko naamini, Ben angeweza kuwa hai kama tu angezingatia kanuni kuu ya maisha nayo ni USICHEZEE UHAI WAKO KWA VITU AMBAVYO UNAWEZA KUACHANA NAVYO.

Hii ni kanuni ya wenye woga,hofu, wasiwasi, mashaka, wabinafsi.

Na wale wasiomini katika kile wanachikipambania.

Wewe u mmoja wao. Ujumbe wako wasadifu yote
 
Kama mtu unajua hatari iliyopo katika kukosoa ni bora uache ili kulinda uhai wako, UHAI hauna SPARE. Lazima kama mtu mwenye akili timamu ujue hakuna kitu muhimu kwako kama UHAI.

Dunia ina hasara sana ya kuwa na mtu kama wewe.
Naamini kwako uhai ni muhimu zaidi bora ufanywe chochote.

Hivi unaweza ipigania haki yako yeyote ile?

Unaweza mtetea yeyote yule dhidi ya uonevu na manyanyaso?
 
Kilichommaliza ni kujaribu kuonyesha kuwa Raisi wa nchi alifoji PHD, hebu jiulize ilikuwa inamsaidia nini!?.., tatizo ni kulewa sifa. Alijiona mwanaharakati kuliko watu wote matokeo yake akapotea. Hata leo hii ukianzisha ligi ya kuhoji vyeti vya mama Samia mitandaoni tena Kwa Jina halisi ukijaribu ku prove kuwa ni feki, Kuna kikosi maalum kitakupoteza tu pengine hata bila Raisi mwenyewe kujua. Tena huyu ana bahati alipewa na warning kabisa akaleta story za Aluta continua.. matokeo yake akasalimiana na chatu. Hapa duniani pambana ku survive achana na story za kufa kishujaa, kufa ni kufa tu. Ishi Kwa hekima,busara, akili nyingi huku ukimuomba Mwenyezi Mungu akuongoze.

Huyo aliyekuwa anaambiwa Phd ya mchongo ilikuwa inamfutia hiyo Phd?

Hata kama ilikuwa ya mchongo ama la, haikuletei kizuiz katika kazi zako.

Mfano wewe uanze tu kuambiwa cheki chako ni magumashi then uende kutoa uhai kwa anayekuseme juu ya cheti/elimu yako.

Tukubaliane ni udhaifu wa kushindwa kukubali kukosolewa, lakini pia tunafanya ujanja ujanja lakini hatupo tayari kuutetea.

Ukishindwa tenda kwa haki ili utetewe pia na wengine kwa mafanikio uliyoyapata.
 
Back
Top Bottom