Kilichommaliza ni kujaribu kuonyesha kuwa Raisi wa nchi alifoji PHD, hebu jiulize ilikuwa inamsaidia nini!?.., tatizo ni kulewa sifa. Alijiona mwanaharakati kuliko watu wote matokeo yake akapotea. Hata leo hii ukianzisha ligi ya kuhoji vyeti vya mama Samia mitandaoni tena Kwa Jina halisi ukijaribu ku prove kuwa ni feki, Kuna kikosi maalum kitakupoteza tu pengine hata bila Raisi mwenyewe kujua. Tena huyu ana bahati alipewa na warning kabisa akaleta story za Aluta continua.. matokeo yake akasalimiana na chatu. Hapa duniani pambana ku survive achana na story za kufa kishujaa, kufa ni kufa tu. Ishi Kwa hekima,busara, akili nyingi huku ukimuomba Mwenyezi Mungu akuongoze.