Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

One death it's to many,kifo cha mtu mmoja hakina tofauti na vifo 700,wote ni wauaji,serikali ya ccm na makaburu kwa issue they join in the hip
 
One death it's to many,kifo cha mtu mmoja hakina tofauti na vifo 700,wote ni wauaji,serikali ya ccm na makaburu kwa issue they join in the hip
Mauaji yaliyofanywa na makaburu yana ushahidi usiotia shaka. Hadi sasa haijathibitishwa 100% kama Ben kafa na pia kama kafariki haijathibitishwa chanzo. Cha muhimu kilichopo ni kuwa Ben alipotea na bado hajapatikana. Mamlaka zinazohusika ziendelee kufanya kazi walizosomea. Ulishawahi kumsikia Mbowe akimtaja Ben Saanane?
 
Why Mr.Mbowe amtaje Mr. Saanane ndio ujue kuna binadamu mwenzetu hapa hajulikani alipo?na government of the day ipo kimya,elewa president anakula kiapo cha kulinda raia wake na serikali ya ccm ipo kimya,mamlaka gani unazozisema hapa ambazo hazina hata uwezo wa to secure a crime scene?,CoCo beach viroba vyenye miili ya binadamu wenzetu na wewe unaona ni sawa reason behind sio familia yako nhe!katiri sana wewe mkuu
 
Binafsi ninashukuru Covid -19 wimbi la pili kwa kusimamia haki kwa walioonekana hawana nguvu!
Unavyodhani ndivyo sivyo.

Hao unaodhani waliondoka kwa COVID waliondoka kwa vifo vya kijanja

If you know you know 😂
 
Nani anatakiwa athibitishe Ben yupo hai au hayupo hai?

Namba alizoambatanisha hapo zinamtishia uliwahi kusikia mamlaka gani ya kiserikali inayohusika ililizungumzia

On top of that waliomshambulia Lissu kwanini hadi leo hawajulikani?

Nani anatakiwa afanye "forensic investigation" kwenye matukio kama haya?
 
Aisee one day truth will come out, mungu ni wetu sote
 
Labda kama unajitoa ufahamu ,mbowe bungeni alishatoa ushauri kwamba waziri mkuu aruhusu scotland yard waje kuchunguza kupigwa risasi lissu na kupotezwa kwa ben.
 
Aliyemtisha alimtambua k
Aliyemtisha alimtambua kwa sura na jina na akawatangaza hadharani?

Adui husubiri mliomo ndani ya nyumba mzozane kisha aliyepembeni kama mtazamaji kwa mzozo wake na mmojawapo hapo kabla anajipenyeza kummaliza adui yake lakini lawama zinaenda kwa yule anayezozana naye muda huo.
 
Sawa mlipokamilisha kazi umeme ulikuwa wa uhakika?

Ufisadi kwenye report za CAG ukaisha.

Maji ya uhakika kwenye kila nyumba yakawepo?

Nchi ikawa na sukari ya kujitosheleza??

Mishahara ikapanda na mfumuko wa bei ukapungua

Vipi na aliyewatuma yupo bado na nafasi ile ile aliyokuwepo na nyie nafasi mlizokuwepo bado mpo vile vile kama miaka 8 nyuma?
 
Dah umefaidika nini kwa kumuua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…