Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

9 years gone
 
Wewe mtutsi kifo ni cha kila mtu hata wewe utakufa tu. Afadhali Magufuli amekufa na bado anakumbukwa kwa mazuri na Watz waliowengi lakini wewe ukifa hata sisimizi hawezi kukumbuka kwa sababu hakuna lolote ulilofanya hapa TZ la maana labda huko kwenu Rwanda.
 
At least he stood for what he believe to the end, he paid the price dearly, rest in peace Ben rabiu focus wa Sanane, one of the finest brain this country as ever have.
Akili bila maarifa haikusaidii, Mungu ametuambia " watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Yule dogo malezi yake yalichangia, hakuheshimu wakubwa alikuwa na kiburu kisa msomi. Biblia yatuambia "tiini mamlaka zilizopo maana zote zatoka kwa Mungu" Rais anaongoza watu zaidi ya 60M na amechaguliwa we lofa moja kwa kuwa humpendi unampandikia kila tusi, kila uzushi, kila uwongo, kila upotoshaji, unajaribu kuleta uchochezi, utashughulikiwa tu na dola hiyo ni tangia zamani ht leo hakuna sehemu utafanya huo upuuzi
 
Reactions: UCD
Wewe mtutsi kifo ni cha kila mtu hata wewe utakufa tu
Mimi sio mtutsi wala mhutu aliyekuwa mhutu ni dikteta uchwara Magufuli, kama unampenda sana afande omba nafasi ukalinde kaburi lake pale Chato bure maana ule uwanja wa ndege alioiba 1.5 T kuujenga watu wameutelekeza na soon wasukuma wataanza kuanikia michembe.
. Afadhali Magufuli amekufa na bado anakumbukwa kwa mazuri na Watz waliowengi lakini wewe ukifa hata sisimizi hawezi kukumbuka kwa sababu hakuna lolote ulilofanya hapa TZ la maana labda huko kwenu Rwanda.
Anakumbukwa kwa mazuri yepi afande wa division 4?

Uzi huu ndio mazuri ya kukumbukwa kwa huyo kichaa?

Uzi huu unajadili mazuri kwa akili yako?

Mleta mada aliyetoa malalamiko ya kutishiwa kuuwawa na serikali dhalimu ya huyo mwehu wenu alipokufa mlisikitika?

Kuna hatua yoyote serikali ilichukua?

Basi kama hawakusikitika na wengine hatuwezi kusikitika muuwaji na dikteta akifa.

March 17 mwaka huu ni sherehe kwa watanzania tuliokuwa tukichukia uonevu nyie wapokea amri endeleeni kumkumbuka maana mnaishi kwa kiapo cha utii ila sio utashi wa akili zenu.
 
Mavi ya kunguni
 
Reactions: UCD
Hasira za vyeti feki kutumbuliwa🤣🤣🤣🤣
 
Reactions: UCD
Vipi mbona wewe hujauwawa?
 
Hasira za vyeti feki kutumbuliwa🤣🤣🤣🤣
Aliyekuwa na cheti feki ni yule aliyeogopa kuhojiwa uhalali wa PhD yake hadi huyu mleta mada akauwawa, sasa unaanzaje kwenda kutumbua wenye elimu ya kubabaisha ilhali wewe hujathibitisha kwa kukubalu tasnifu yako ionekane kwa maslahi ya umma.

Hadi leo hakuna mahali tasnifu yake inapatikana pale UDSM.

Mwisho tu nikueleze sijawahi kuwa mtumishi wa umma Tanzania.
 
Huyo mleta mada maiti yake imezikwa wapi baada ya kuuwawa ndugu mchangiaji
 
Vipi kibao nae aliuwawa mwaka Gani na wakod1 soka na wenzie wamepotea mwaka gani
Hatujamaliza ya Magufuli unataka kuhamia kwa mama Abdul?

Leopold Lwajabe aliuwawa lini?

Lissu alipigwa risasi lini?

Raphael Ongangi alitekwa lini?

Mo Dewji alitekwa lini?

Roma Mkatoliki alitekwa lini?
 
Wewe ni shoga ndio maana unamchukia Magufuli kwa sababu aliwazuia mchezo wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…