Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Nadhani anatamani ifutike lakini ndiyo hivyo tena, hana namna!!Unajisikiaje ukisoma hii post leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani anatamani ifutike lakini ndiyo hivyo tena, hana namna!!Unajisikiaje ukisoma hii post leo
Mkuu upo?Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Na hatimae chadema wenyewe wamemzimisha ili kutengeneza mazingira ya lawm kwa wengine. Kama alikuwa na wtegemezi masikini ndio basi tena, loooooh. Pole Ben ten saakumi.[/QUOTE
Hivi wewe una ndugu na unawadhami na wao wanakushangaa Kweli. Naona kama maisha yako ni yakishetani. Lakini sio makosa yako ila ni makosa ya wazazi wako waliokuleta katika nchi hii wangekupeleka huko Somalia.
Hahah!! Alimwita au hata kumvuta shati mkuu?Said Kubenea alimuona akizunguka Kwenye vijiwe vya kahawa usiku na akaandika Kwenye gazeti lake.
Watu husahau lakini maandishi huwa hayasahaulikiBen acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Ulishapitia ukurasa wake wa facebook? Pitia uone sababu za kutushiwa kwake.Huu umaarufu mwingine bwana, mototo wa chekechea anayejua anacho kifanya hawezi kuandika vitisho kama hivyo ambavyo bwana Ben Saanane anataka kutuaminisha. Ni bora ukatafuta njia nyingine ya kujitangaza kuliko hii ya kujitishia maisha mwenyewe.
Wakuitraki ndio mtrakiwa..Hivi kuitrack hiyo number imeshindikana? ?
Mnyonyaji anamkamata anayenyonyaWakuitraki ndio mtrakiwa..
Haijalishi ni Chadema wamemuua, amejiua au system imemnyamazisha, napenda ujiulize; kumnyamazisha ni sawa? Angefanyiwa ndugu yako ungeandika comment ya aina hii kweli? Kama Chadema wamemuua Ben, unaamini kabisa kwa kutumia hiyohiyo low IQ yako, Polisi na Serikali yetu ingekalia kimya kweli? Iko wapi kesi ya waliomuua Alphonse Mawazo ambaye hata Ben amemzungumzia akinukuu watesi wake walivyomtishia? Wako wapi waliopanga kumuua Tundu Lissu? Kigugumizi gani kinasababisha kuzuiwa uchunguzi wa Taasisi zenye uwezo kuchunguza mauaji na upotezwaji wa watu?Na hatimae chadema wenyewe wamemzimisha ili kutengeneza mazingira ya lawm kwa wengine. Kama alikuwa na wtegemezi masikini ndio basi tena, loooooh. Pole Ben ten saakumi.
Swadaktaa..Mnyonyaji anamkamata anayenyonya