Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

naupenda wimbo unaoisifia nchi yangu usemao " Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote"
lakini ninapokumbuka na kuona upumbavu, uonevu na mauaji au utekaji, moyo wangu hukosa raha na chuki nzito hutawala. eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie

Inna
 
Na hatimae chadema wenyewe wamemzimisha ili kutengeneza mazingira ya lawm kwa wengine. Kama alikuwa na wtegemezi masikini ndio basi tena, loooooh. Pole Ben ten saakumi.[/QUOTE

Hivi wewe una ndugu na unawadhami na wao wanakushangaa Kweli. Naona kama maisha yako ni yakishetani. Lakini sio makosa yako ila ni makosa ya wazazi wako waliokuleta katika nchi hii wangekupeleka huko Somalia.
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Watu husahau lakini maandishi huwa hayasahauliki
 
Said Kubenea Swahiba Mkuu wa Mwenyekiti wa Chadema Na Mmiliki wa Magazeti ya Mawio Na Mwanahalisi aliripoti Kuwa Ben Saanane alionekana kwenye vijiwe akiwa Na lengo la kujificha ili aichafue Chadema

Kubenea anaaminika zaid Kuwa Ni mpenda kusema Kweli bila ya uoga

Katika hili Kubenea anajua Mengi
 
Huu umaarufu mwingine bwana, mototo wa chekechea anayejua anacho kifanya hawezi kuandika vitisho kama hivyo ambavyo bwana Ben Saanane anataka kutuaminisha. Ni bora ukatafuta njia nyingine ya kujitangaza kuliko hii ya kujitishia maisha mwenyewe.
Ulishapitia ukurasa wake wa facebook? Pitia uone sababu za kutushiwa kwake.
 
Na hatimae chadema wenyewe wamemzimisha ili kutengeneza mazingira ya lawm kwa wengine. Kama alikuwa na wtegemezi masikini ndio basi tena, loooooh. Pole Ben ten saakumi.
Haijalishi ni Chadema wamemuua, amejiua au system imemnyamazisha, napenda ujiulize; kumnyamazisha ni sawa? Angefanyiwa ndugu yako ungeandika comment ya aina hii kweli? Kama Chadema wamemuua Ben, unaamini kabisa kwa kutumia hiyohiyo low IQ yako, Polisi na Serikali yetu ingekalia kimya kweli? Iko wapi kesi ya waliomuua Alphonse Mawazo ambaye hata Ben amemzungumzia akinukuu watesi wake walivyomtishia? Wako wapi waliopanga kumuua Tundu Lissu? Kigugumizi gani kinasababisha kuzuiwa uchunguzi wa Taasisi zenye uwezo kuchunguza mauaji na upotezwaji wa watu?

Padre Martin wa Ujerumani, alipata kusema haya kwa majuto na uchingu mkubwa wakati wa utawala wa Nazzi;" they came for a Jew, I kept silent because I was not a Jew; they came for a Communist, I kept silent because I was not a Communist; they came for a Trade Unionist, I kept silent because I was not a Trade Unionist, then they came for me, and there was no any one to speak."

Tundu Lissu alipata kusema pia:"wakitumaliza sisi watahamia na kwenu."

Kama huna uwezo wa kufahamu hiyo mifano, waombe wenye IQ kubwa , watakusaidia kukufafanulia.

Vv
 
Aisee.
Nadhani haya ndio yalikua maneno yake ya mwisho Ben.
Mungu awadhalilishe wahusika wote wa tukio la kupotea kwako hapabhapa dujiani kabla hawajafikwa na umauti.
Wote tuseme amin.
 
Oh, Elohim
The Creator, I call you with your highest name that only your chosen ones know.
Oh Alhayyu Alqayuum
YaHuwa Yaa Manlaa Huwa Illa Huwa
Deliver Justice to Ben Saanane oh Adonai
Oh Lord of Arch Angel Michael
Oh Lord of Arch Angel Gabriel
Oh Lord of the Holly Messiah Christ
Oh Lord of our father Abraham
Oh Lord of the high Priest Melzedeck
I call upon your justice
Deliver Justice to Ben Saanane
Aamen
 
Last edited:
Mwaka; masiku yanayoyoma ni Giza nene;
Ben Saanane no where to be seen.
 
Back
Top Bottom