Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Hili andiko linatisha sana. Ona sasa ,,Sijui hata kwa nini nimelisoma usiku huu..
#HakunaAtakayeishiMilele.
Mshana jr alisema jf inacheua, na inacheua kweli kweli.

Hii ni makala ya pili ya Ben naiona ambazo sikuwahi kuziona hapo kabla.

Kama kweli ameuawa, Mungu amlaze mahala pema peponi, amina.
 
Dah Ben Mungu ailaze roho yako mahali Pema Peponi bashite na baba yake watayajibu haya hapa dunia ni mashetani wakubwa
 
Gentamycine heshima yake imeshuka sanaaa,Ben alituhabarisha namna anavyotishiwa maisha,lakini Gentamycine akam-judge kuwa anatafuta kiki,(leo hatupo naye tena)

Tundu Lissu alieleza mara kadhaa namna anavyofuatiliwa na kutishiwa maisha,wengi walimpuuza na kumuona mzushi,anayetafuta kiki!!

Lakini baada ya kushambuliwa kwa risasi lukuki tena akiwa kwenye maeneo yanayolindwa vikali,na yamesheheni sisitivii,japo hazikuweza kusaidia kukamatwa kwa washukiwa waliomshambulia!

Kuna mambo ya kujifunza kutoka kwa aina ya watu kama Gentamycine,hatupaswi wanafanya hukumu kwa kuzingatia zaidi mahaba ya hisia zao,na si kwa kujipa nafasi ya kutafakari na kuyatazama mambo kwa uhalisia wake!

SHAME ON YOU GENTAMYCINE, SIJUI LEO UNA MTAZAMO GANI JUU YA COMMENTS ZAKO DHIDI YA BEN SAANANE!
 
Mkuu, ben saanane hayupo

kwani unajua yuko wapi?

kafa?
kafichwa?
kajificha,?
kahama nchi?


inaonekana unajua yuko wapi

ebu jibu
 
mkuu ben saanane hayupo

kwani unajua yuko wapi?

kafa?
kafichwa?
kajificha,?
kahama nchi?


inaonekana unajua yuko wapi

ebu jibu
Waulize jeshi la polisi,ndiyo wenye jukumu la kulinda kila raia wa nchi hii na mali zake,na wanajua kila kitu (wakaiamua)

Halafu mbona umeuliza Ben pekee,vipi kuhusu Lissu,hauna swali juu yake?
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Mlichoweza kuua ni mwili wake tu lakini roho yake bado inaiishi, kudhulumu nafsi ya mtu na kuniona mnaakili sana hongereni kwa hili maana uhai wenu ni wa milele
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Huenda wewe ndio jiwe mwenyewe
 
"Doubt" zake ziko sahihi!

Mods wanapaswa kufafanua ili kutupunguzia shaka watumiaji wa jukwaa hili.


Kwani inaonekana Leo tarehe 29/10/2018 SAA 22:42:03 account hii ya Ben Saanane ilikua online.

Ni vyema tukaelezwa je mods ndio wanayonywila ya I'd husika ama ni "watesi" wake ndio wanaitumia kwa sasa?


Wasiwasi ndio akili!!

🙄🙄🙄
 
Huu uz huwa unauma sana asee hasa kila napouona,
moyo wangu unakuwa na simanz nakosa raha kabisa na najiuliza iv ikiwa mtu katoa taarifa polis na namba kaiweka hapo 0768797982 Je kwa nin jesh letu lisianzie hapo? Au wauwaj ndio hao wenyewe?
Ndio maana serikali inakuwa suspect namba moja katika matukio yenye utata kama haya
 
mkuu ben saanane hayupo

kwani unajua yuko wapi?

kafa?
kafichwa?
kajificha,?
kahama nchi?


inaonekana unajua yuko wapi

ebu jibu
Kafa?=sijui polisi wanaweza kutwambia

Kafichwa?= wapi? Na nani?(wenye dhamana wanaweza kutwambia,ili tusiulize tena)

Kajificha?=wapi na nani anajua(wenye dhamana wanaweza kutwambia,kwa kuwa sana nyenzo zote za kuwezesha hilo)

Kahama nchi?=Pia wenye dhamana hiyo wanaweza kutwambia,(aliondoka tarehe ngapi? alipitia wapi?na aliekea nchi gani?,kwa ndege au usafiri gani?) Maana kwa kelele hizi wenye dhamana ya uhamiaji pia wanaweza kutwambia!!!
 
sasa umethibitisha vipi kuwa statement za Gentacymine haziko sahihi

taratibu tu wala usipanick

maana kila kitu haujui

hata statement ya Gentcymine hauwezi ukaipinga au kuikubali pia
 
Back
Top Bottom