Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh, hizi kiki hizi! unajitumia SMS ili uje uandike makala zisomwe na watu wengi
Mkuu umesema jambo la msingi. Kwanini wasianze na uchunguzi wa wale waliomwandikia messege za vitisho? Hao watu kama siyo serikali imeshiriki, lazima wangehojiwa na ndiyo number one suspects! Kwasababu mizunguko yao na mawasiliano yao kipindi hicho, vingefunua mengi. Lakini labda hio namba waligunduwa ni ya miongoni mwa hao wasiojulikana ambao wana operate chini ya serikali hii ambayo imewafanyia wananchi wake wengi udhalimu mbaya kupita kiasi.Du hii kitu huwa inaniuma sana! Where is democracy nowdays? Inauma, tena mno tena mno! Waliofanya hiki kitendo pia hakika watakufa!
Malipo ni hapa hapa duniani mlivyomuuwa ben mmepata faida ganiUngekuwa ukinichukia halafu Uume / Mkuyenge wangu nao unasizi / unalala bila kufanya Kazi kweli ningeumia lakini kumbe pamoja na kwamba ' unanichukia ' ila bado nitakuwa ' nawabandua ' Warembo wala sijali na hujanipunguzia chochote au lolote. Halafu naomba nionyeshe ni wapi wakati najiunga hapa JamiiForums nilisema au niliwaomba ' Members ' wote kuwa mnipende? Idiot!
Ila ukifuatilia mambo ya huyu ndugu hapa JF pekee motives zipo nyingi ;MUNGU AWASAMEHE na nafsi ya Ben huko iliko iwasamehe
Hao ndio wauaji wenyewe walio na mamlaka kwenye vitengo, hivyo usitarajie lolote dhidi yaoHuyu ni mshukiwa namba1 napendekeza uchunguzi uanzie kwa uyu member!!!
Cc. Jeshi la Polisi tz
Polisi walifuatilia hizo namba ambazo zilimpigia kumpa vitisho? Jiulize kwanza hayo mwaswali. Huwa mnatafuta sababu za kijinga sana. Hata Mo juzi hapa si mlitaka kufanya hivyohivyo? Shida ya Ben ni kwasababu ya uhusiano wake na chadema.Ila ukifuatilia mambo ya huyu ndugu hapa JF pekee motives zipo nyingi ;
Mfano ; alikua na kandarasi na balozi ya eneo lililojitangazia uhuru wake toka Morocco nani anajua nini kimempata
Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai,watesaji,wakandamizaji wa haki.Watetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji,unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani
Ndo maana halisi ya ushamba aliosema Zitto .Yani wao wanadhani wakisema "tumejenga SGR" au sijui "flyover", basi ndiyo justification ya kusahau utu na maisha ya binadamu wengine. Hawajiulizi kama hayo yangefanya kazi, basi wananchi wote wa Libya wangempenda Ghadafi kuliko hata mungu wanayemwabudu kwa namna ambavyo alifanya mambo makubwa kule Libya. Kutokuweza kuona hili kunaweza kukawa kumechangiwa na ushamba.inasikitisha sana kuona eti mpaka leo Ben saanane hatukonae namuomba Mungu asieshindwa kitu atuondolee hili janga tulilopewa na lubuva bila kupenda
tunayaona pia tunayahifazi siku tumepata wasaha tutawadai ndugu zetu kwasababu kigezo ni madalaka yanapitNdo maana halisi ya ushamba aliosema Zitto .Yani wao wanadhani wakisema "tumejenga SGR" au sijui "flyover", basi ndiyo justification ya kusahau utu na maisha ya binadamu wengine.
Sidhani kwamba eti kama kuna vitu vya maendeleo vimefanyika, basi ndiyo iwe kigezo cha kusahau huu unyama.
Haya ya haki kutendeka yatawezekana only hawa wakitoka madarakani.
hivi huyo aliyempoteza Ben ina maana watoto wake wa kuwazaa anatembea nao saa zote mfukoni mwake? maana akumbuke kuna mtu mwenye akili kama zake naye anaweza kuja kuwapoteza one day!
Bado kwetu sisi. Kamwe hatutamsahau. Hata JF iwepo au isiwepo.Ben ndio ameshasahaulika hivyo...!