Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Kusema nimedandia gari kwa mbele bado inaonyesha hukuelewa. Sikufananisha uanachama wako wa chama chochote cha siasa na Malcom X niliposema hauitendei haki hiyo avatar. Na pia vilevile mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa. Huwa hupendi kuelewa!Unarudiarudia tu vitu unavyoamini wewe kwenye ubongo wako na kamwe haujishughulishi kufikiri nje ya box!

Umepanick kusema nikuwekee wewe avatar ninayotaka mimi.

Kwahiyo kuuliza kama avatar ya Tupac inaendana na chadema inaonyesha how "shallow" your thinking is on the matter.

Malcom X hakuwa mtetezi wa status quo. Malcom X hakusound kama mzee mnoko.

Malcom X was for justice and not cowardice! He was for equal rights not injustices!

Unaidhalilisha hiyo avatar especially kwa wale wanaofahamu what Malcom X was standing for! He was a true nigga!

Eti nikarukia, neno gani hilo kwa mtu mwenye brains na anayejitambuwa? Sitaki kukujibu tofauti maana utasema ni matusi.

Unauliza maswali ya kijinga kupita kifani, eti unasema niseme mahali Ben Saanane alipo! Na wala hata hujauliza kama polisi walifuatilia hiyo namba ambayo ilimtumia jumbe za vitisho. Kijana wa watu amabye hakustahili kufanyiwa alichofanyiwa kwasababu tu ya kuulizia "Phd ya utomvu wa korosho"

What the heck?

Huyo unayemsaidia kujibu si msema utumbo mara nyngi tu?Ni sahihi kusema kuwa Ben anatafuta umaarufu? WTF is wrong with you people?
 
Du hii kitu huwa inaniuma sana! Where is democracy nowdays? Inauma, tena mno tena mno! Waliofanya hiki kitendo pia hakika watakufa!
 
Du hii kitu huwa inaniuma sana! Where is democracy nowdays? Inauma, tena mno tena mno! Waliofanya hiki kitendo pia hakika watakufa!
Mkuu umesema jambo la msingi. Kwanini wasianze na uchunguzi wa wale waliomwandikia messege za vitisho? Hao watu kama siyo serikali imeshiriki, lazima wangehojiwa na ndiyo number one suspects! Kwasababu mizunguko yao na mawasiliano yao kipindi hicho, vingefunua mengi. Lakini labda hio namba waligunduwa ni ya miongoni mwa hao wasiojulikana ambao wana operate chini ya serikali hii ambayo imewafanyia wananchi wake wengi udhalimu mbaya kupita kiasi.
 
Ungekuwa ukinichukia halafu Uume / Mkuyenge wangu nao unasizi / unalala bila kufanya Kazi kweli ningeumia lakini kumbe pamoja na kwamba ' unanichukia ' ila bado nitakuwa ' nawabandua ' Warembo wala sijali na hujanipunguzia chochote au lolote. Halafu naomba nionyeshe ni wapi wakati najiunga hapa JamiiForums nilisema au niliwaomba ' Members ' wote kuwa mnipende? Idiot!
Malipo ni hapa hapa duniani mlivyomuuwa ben mmepata faida gani
 
MUNGU AWASAMEHE na nafsi ya Ben huko iliko iwasamehe
Ila ukifuatilia mambo ya huyu ndugu hapa JF pekee motives zipo nyingi ;

Mfano ; alikua na kandarasi na balozi ya eneo lililojitangazia uhuru wake toka Morocco nani anajua nini kimempata
 
Ila ukifuatilia mambo ya huyu ndugu hapa JF pekee motives zipo nyingi ;

Mfano ; alikua na kandarasi na balozi ya eneo lililojitangazia uhuru wake toka Morocco nani anajua nini kimempata
Polisi walifuatilia hizo namba ambazo zilimpigia kumpa vitisho? Jiulize kwanza hayo mwaswali. Huwa mnatafuta sababu za kijinga sana. Hata Mo juzi hapa si mlitaka kufanya hivyohivyo? Shida ya Ben ni kwasababu ya uhusiano wake na chadema.

Hakuna ubinadamu kabisa kwenye hii nchi.
 
Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai,watesaji,wakandamizaji wa haki.Watetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji,unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani

Ben kwa maneno haya mazito kusema kweli yamenitia simanzi sana hasa nikifikiria machungu wanayopata wazazi wako. Iko siku ukweli utajulikana ulipo. Sisi ni waja wa Mola na kwake tutarejea.
 
inasikitisha sana kuona eti mpaka leo Ben saanane hatukonae namuomba Mungu asieshindwa kitu atuondolee hili janga tulilopewa na lubuva bila kupenda
Ndo maana halisi ya ushamba aliosema Zitto .Yani wao wanadhani wakisema "tumejenga SGR" au sijui "flyover", basi ndiyo justification ya kusahau utu na maisha ya binadamu wengine. Hawajiulizi kama hayo yangefanya kazi, basi wananchi wote wa Libya wangempenda Ghadafi kuliko hata mungu wanayemwabudu kwa namna ambavyo alifanya mambo makubwa kule Libya. Kutokuweza kuona hili kunaweza kukawa kumechangiwa na ushamba.

Sidhani kwamba eti kama kuna vitu vya maendeleo vimefanyika, basi ndiyo iwe kigezo cha kusahau huu unyama.

Haya ya haki kutendeka yatawezekana only hawa wakitoka madarakani.
 
Ndo maana halisi ya ushamba aliosema Zitto .Yani wao wanadhani wakisema "tumejenga SGR" au sijui "flyover", basi ndiyo justification ya kusahau utu na maisha ya binadamu wengine.

Sidhani kwamba eti kama kuna vitu vya maendeleo vimefanyika, basi ndiyo iwe kigezo cha kusahau huu unyama.

Haya ya haki kutendeka yatawezekana only hawa wakitoka madarakani.
tunayaona pia tunayahifazi siku tumepata wasaha tutawadai ndugu zetu kwasababu kigezo ni madalaka yanapit
 
KWELI TUNAKAA KIMYA KWA HILI??? WATANZANIA TUMELOGWA NA NANI?? MWENZETU NI MWAKA WA NGAPI HATUMWONI AU KWA SABABU SI TAJIRI KAMA MO/ AU KWASABABU NI MWEUSI KAMA SISI SI MWARABU?? WATANZANIA WENZANGU TUJITAFAKARI KWA HILI TUMEKOSEA SANA TUNAHITAJI TUPIGE KELELE TUJUE YUKO WAPI MWENZETU TOKA APOTEE, NI WENGI WAMEPOTEA MACHONI MWETU LAKINI TUMEKAA KIMYA KILA MTU ANAENDELEA NA MAISHA YAKE YAANI NI KAMA HAWAJAPOTEA...WATZ WENZANGU ALIPOPOTEA MO TULITOKA TUKAPIGA KELELE SIKU CHACHE AKARUDI MBONA SI WENGINE AU KW SABABU SI NDUGU ZETU WA UKOO MMOJA? / AU KWASABABU SI WA CHAMA CHETU???



EHEEEEE MUNGU TUSAMEHE TUMEKUWA NA MIYO MWEYEPESI SANA TUMERIDHIKA NA YALE MABAYA TUYAONAYO NA VILE KWA SABABU SI NDUGU ZETU, BASI TUMEACHA FAMILIA ZAO ZILIE ZENYEWE...VIONGOZI WETU KIMYA NI KAMA HAYAWAHUSU HAYA, NI KAMA KILA SIKU KWAO NI KAMA HAKUNA HUZUNI KWA WENYE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZA HAO AMBAO MPAKA LEO HATUJUI WAPO HAI/WAMEKUFA..

TUSAMEHE MUNGU KWA NIABA YA WOOTE...TUPE ROHO YA UCHUNGU KWA WENZETU HAWA. KWANI SIJUI MKEWE BEN SAANANE AMEUMIAJE, MTOTO WAKE JE? MKE WA AZORY ANAJISIKIAJE MDA HUU? ANAISHIJE NA UAMSIKUTE ALIKUWA ANAMTEGEMEA MUME WAKE LEO HII HATA KABURI HAJUI LIKO WAPI...EHEEE MUNGU WEEEEEEE NAJARIBU KUWAZA AU KWA SABABU HAYAJATUFIKIA NDANI YA FAMILIA ZETU NA NDIYO MAANA HATUONI UCHUNGU WA HAYA???


MUNGU ENDELEA KUTUSAMEHE


AMEN!!
 
hivi huyo aliyempoteza Ben ina maana watoto wake wa kuwazaa anatembea nao saa zote mfukoni mwake? maana akumbuke kuna mtu mwenye akili kama zake naye anaweza kuja kuwapoteza one day!

Siku moja nikiwa Simiyu, alikuja huyu Bwana Jiwe na shamra shamra zake tukakusanywa kwenda kumpungia mikono na kumtia moyo kuwa watu wako nyuma yake. Ulinzi lukuki wa magari ya kimarekani na mitutu ya kutisha.
Wamama wapiga vigelegele wala hawakuchoka akasimama kuzungumza nikamtizama kuanzia miguuni mpaka kichwani kwake. Nilishangaa mikono yake ilivyokuwa myeupe na kuongea huku akiangalia huku na kule kuona muitikio wa watu. Alitamka neno moja likanitetemesha sana for sure. Alisema niombeeni...masikio yangu ni kama yaliziba sikusikia tena alichoendelea kuongea.

Usoni kwake nikawa siioni tena sura yake. Ni kama muujiza machoni pangu, mikono na mwili nikawa naona ni ile ile lakini uso wake ni kama ulikuwa ukibadilika badilika, ni kama nilikuwa naona uso wa Lissu, mara ghafla ni kama nikawa naona uso wa mawazo na picha za jinsi alivyokuwa akihangaikia uhai wake huku akichuruzikwa damu kwenye majani yale zikawa zinanirudia. Nikawa sisikii tena vigelele japo naona mikono ya wamama ikipepea. Ghafla tena nikawa naona uso unaofanana na picha niliyozoea kuiona facebook ya Ben Saanane.

Eeeeeeh Mungu wa Miungu yote na viumbe vyote nakuomba usikawie kutenda haki ipasavyo. Na tangu muda huu itoweshe amani nafsini, mwilini na moyoni mwake mtu huyu hata atakapokufa kifo kifananacho kabisa na aliyomtenda ndugu yetu asiye na hatia. Wewe wajua chumba cha chatu utakachomtumbukiza yeye na kizazi chake chote. AMEN
Tumefundishwa kutokuombea baya au laana kwa mwanadamu mwingine. Tumefundishwa kusamehe. Lakini hapa Eeh Mungu tunakuomba utusamehe kwa kushindwa kusamehe na utimize maombi yetu. AMEN
Hii ndio sala yangu kwake kama alivyoomba aombewe kwenye makutano yale.
 
Huu ndio utawala unaompendeza Mzee Mwanakijiji na haya nadhani nisehemu ya yanayomkonga moyo. Nakumbuka alikuwa anakuja na you tube zake za kumsifia mtesi huyu hata baada ya Ben kupotezwa.
Huu ndio utawala Mzee Mwanakijiji alioshiriki kuusimika na kuutakasa. Nisamehe sana nadiriki kutamka hivi kwani sioni tofauti yako na wale wanaotangaza hadharani kuwa wanaenda kumuunga mkono huku wakishuhudia mauaji na utekaji wote huu mbele za macho yao.
Anyway hata shetani anao wafuasi, sembuse mtesi huyu. Naishia hapo
 
Back
Top Bottom