Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

MUNGU AWASAMEHE na nafsi ya Ben huko iliko iwasamehe

hakuna kitu kama icho mkuu, the world is not fair
sababu jamaa alikuwa anacheza game ambayo haiwezi
it's a survival game and he is a looser
 
Ukimya wa Mzee Saanane na ndugu wengine wa karibu unaweza ukawa ni kutokana na ugumu wa kufuatilia au hata kukatishwa tamaa na pengine kutishwa.

Lakini pia ukimya huo unaweza kutokana na wayajuayo wao ambayo wanaJF hatuna ufahamu nayo.
Palikuwa na mtu mwenye jina la Malisa hapa JF aliyejitahidi kulifuatilia jambo hili. Huyo mtu naye hasikiki tena; pengine ikiwa ishara ya hayo wayajuayo wao ambayo wengine hapa hatuyajui.

Halafu kuna CHADEMA, huwasikii wakilifuatilia tena hili jambo, pengine pia ikiwa ishara ya kujua tusiyoyajua sisi.

Otherwise, kama kutoweka kwa Ben ni hivyo tufikirivyo wengi wetu hapa, basi hakuna aliye salama ndani ya nchi hii.
Ni kumwomba Mungu tu na kuendelea na maisha. Lakini ni mwiko kunyamaza kuwafurahisha wanaotenda mambo ya shetani hawa.
Hawatashinda kamwe.
sawa laikini watu wanaendelea kupotea
 
hakuna kitu kama icho mkuu, the world is not fair
sababu jamaa alikuwa anacheza game ambayo haiwezi
it's a survival game and he is a looser
Pia nawe Mungu akusamehe na nafsi ya ben ikusamehe...by the way game gani hiyo ambayo ben alikuwa haiwezi?????
 
Pia nawe Mungu akusamehe na nafsi ya ben ikusamehe...by the way game gani hiyo ambayo ben alikuwa haiwezi?????
sihitaji msamaha...by the way ni hiyo game iliyomsababisha apotee coz hakuweza kuicheza kama Khashogy
 
It don't matter!

Politics might have no rules, but there is penalties to pay for misjudgments!

And it seems you just forgot that...

"The so called wars with rules" are often caused by politics with no rules"-jmushi1

now we are talking about misjudgments, me i don't have some moral epiphany
mtu yoyote anaweza kuropoka tu but sometimes you need to shut your mouth no matter what you might be feeling and holding it together when the stakes are higher than yourself...it is politics not revolutions
 
Back
Top Bottom