Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
This is so sad.
Malipo hapahapa dunianikama uijui basi sawa but all in all he is weak and a looser
AminaPopote ulipo Ben pole sana, Mungu ni mwaminifu ipo siku hawa mashetani pamoja na mungu wao wa ccm watasulubiwa.
haya basi sawa.Hivi Ben weee umeandika lipi lenye negative impacts kwa serikali ya Magu?
I think unatafuta umaarufu ambao ni cheap.
Kwani nani kalipwa mkuuMalipo hapahapa duniani
Ulikuwa hujui hilo kuwa hata wewe utamkuta ahela upende usipendee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]RIP Bro kitu cha kufahamu ni kua
Mungu ni Fundi. Wasipotajana duniani watakutana ahela.
AlitekwaWhere is Ben Saanane??
Its real sad. Watalipwa kwa mabaya yote waliomtendea BenAlitekwa