Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

Kama Rwanda wamefunga mipaka kwanini madereva wao wanakuja TZ?

Hao madereva hawawezi kuchukua corona huku na kurudi nayo au corona inapelekwa na watz tu ila wanyarwanda wenyewe hawawezi kushika?

Lockdown is an illusion.
 
picha kubwa (sijui kama utaelewa though)..... katika ushindani wa kibiashara miongoni mwa nchi zenye bandari, ni Tanzania ndiyo inayozihitaji land-locked countries zaidi kuliko kinyume chake.
si hivyo.mbali na kwamba hii ni biashara ila,landlocked sio wateja waamuzi wanunue bidhaa wapi,ni geografia ndio inawaamulia.

bandari ya dar es salaam ina nchi kama 7 zinaitumia,tunaweza kuachana na rwanda sio sababu hatufai kwenye biashara hapana,bali sababu si mshirika mzuri wa biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIla mtu akae kwao.
Wao na Covid 19 free wabaki kwako, na sie na Covid 19 contaminations zetu tubaki kwetu.
Ngoma draw.
 
Nadhani huu ni uzembe wizara ya mambo ya ndani. Walipaswa kuwa wameweka itaratibu.
 
Hilo sitoshangaa kabisaa, lakini hivi tujiulize kama madereva wa Tz Wana Corona na hawaruhusiwi kuingia nchini Rwanda kwanini hawa madereva wa Rwanda waje huku kwetu, hawajui kwamba wanakuja kuichukua hiyo corona kuipeleka kwao.
Wanataka kudominate biashara ya usafirishaji ya kati ya TZ na Rwanda kwa kutumia kigezo cha COVID 19.
Ndio maana, wanawakataza watanzania, wanawaruhusu wanyarwanda.

Kama pin, pin ipige kote tu.
 
Kama Rwanda wamefunga mipaka kwanini madereva wao wanakuja TZ?

Hao madereva hawawezi kuchukua corona huku na kurudi nayo au corona inapelekwa na watz tu ila wanyarwanda wenyewe hawawezi kushika?

Lockdown is an illusion.
KIla mtu akae kwao.
Wao na Covid 19 free wabaki kwako, na sie na Covid 19 contaminations zetu tubaki kwetu.
Ngoma draw.
Mkuu tatizo njaa huko kwao zimezidi wakikaa huko wataishije Sasa, Kenya na Uganda kazi ya kutorosha sukari yetu kila siku na mazao mengine ya chakula ili kujinusuru, hawawezi kutulia nchini kwao kamwe watakufa njaa.
 
Pamoja na hayo, naogopa Ndugu yangu.

Hawa watu wameshazoea mambo ya vita vita na vurugu, sisi tofauti sana.

Kwahiyo naogopa sana wao hawatokuwa na cha kupoteza hata kidogo
Acha kuwadekeza hao Cockroach, kwani nani awezi vurugu?
JWTZ wako vizur kuliko jeshi la Rwanda.

Kama Mbwai mbwai
 
100%

Na tuliwapa eneo la kuzika ndugu zao pale maeneo ya magereza, bado wanatufanya mafala.

Kila mtu na abakie kwao.

No need ya kubembelezana,
 
Wanataka kudominate biashara ya usafirishaji ya kati ya TZ na Rwanda kwa kutumia kigezo cha COVID 19.
Ndio maana, wanawakataza watanzania, wanawaruhusu wanyarwanda.

Kama pin, pin ipige kote tu.
Kama ni hivo basi na sisi ndio tumeamua sasa wabaki huko kwao upole wetu isiwe sababu ya kutunyanyasa na kututawala.
Wakawa dominate hao hao DRC huko wanao waibia madini kila siku lakini sio huku kwetu.
 
bandari ya dar es salaam ina nchi kama 7 zinaitumia,tunaweza kuachana na rwanda sio sababu hatufai kwenye biashara hapana,bali sababu si mshirika mzuri wa biashara.
Unajua kuna mpango wa kujenga Reli kwenda Rwanda? Unajua unapoitaja Rwanda unaitaja Mshariki ya Kongo? Mbali ya hizo nchi nyingine ni Rwanda ndiye inategemewa mizigo mingi kupitia kwake.
 
Mkuu tatizo njaa huko kwao zimezidi wakikaa huko wataishije Sasa, Kenya na Uganda kazi ya kutorosha sukari yetu kila siku na mazao mengine ya chakula ili kujinusuru, hawawezi kutulia nchini kwao kamwe watakufa njaa.
Washenzi Mkuu hawa jamaa, wanakawaida ya kujiona wao ni bora kuliko watu wengine.

Wanapenda kutukuzwa.

Ndio maana wahutu waliwacharanga.

Mijinga kabisa hii mijamaa
 
Yani mtu kapiga nchi lockdown ili kudhibiti Corona halafu mtu mwingine ambaye wala hajali maisha yake aje aniletee magonjwa? Hata hivyo Rwanda wamewavumilia sana wa Tz. Watu maisha yenu wenyewe hamuyajali itakuwa ya wenzenu?
Unamzuia jirani yako asiingie kwako kwa vile ana corona halafu wewe unamfuata nyumbani kwake!
Ajabu!
 
Kama ni hivo basi na sisi ndio tumeamua sasa wabaki huko kwao upole wetu isiwe sababu ya kutunyanyasa na kututawala.
Wakawa dominate hao hao DRC huko wanao waibia madini kila siku lakini sio huku kwetu.
Kazeni tu, mpaka heshima irudi.
 
upole wetu isiwe sababu ya kutunyanyasa na kututawala.
Sisi sio wapole ni wajinga!

Tangu Madereva wetu walalamike kwamba wanazuiwa kwenda Rwanda zimepita siku ngapi. Uliona kiongozi yeyote wa Tanzania amelizungumzia hilo suala ama hata wanadiplomasia wetu kwenda Rwanda kushughulikia jambo hilo kwa maslahi ya Tanzania?
 
Ulichoandika kwenye paragraph ya mwisho kimekuwa mawazoni mwangu tangu jumapili. Na kuwa inadaiwa kuwa Jiwe asili yake ni huko kwa Wanyamlenge, haiwezekani ikawa ni mkakati wa kuua wakazi wa asili ili "ndugu zake" wahamie huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…