Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Kagame ana akili.
Namuunga mkono sana kwenye hili
Yaani mimi nisacrifice kuthibiti Korona hadi kufikia kuwapunguzia watumishi mishahara halafu mijitu ya nchi nyingine ije iharibu sacrifice yoote eti tu. kwa sababu raisi wao anatafuta shortcut ya tatizo
Kagame tuko pamoja, uko sahihi mara mia na nakushauri ili kulinda Afya za Wanyarwanda pitisha mizigo Mombasa mpaka ujiridhishe kuwa Tanzania ni salama.
Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu
Kama Rwanda wamefunga mipaka kwanini madereva wao wanakuja TZ?
Hao madereva hawawezi kuchukua corona huku na kurudi nayo au corona inapelekwa na watz tu ila wanyarwanda wenyewe hawawezi kushika?
Lockdown is an illusion.