Benaco Ngara: Madereva wa Malori wa Tanzania, wamejichukulia sheria mkononi kuzuia Malori yote kutokea Rwanda kuingia nchini

na atakayekurupuka atapoteza zaidi.

rwanda kwa hili ameonyesha kukurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujinga huo,wacha huu mchezo tuucheze kiswahili,halafu itafahamika nani ni smart zaidi ya mwingine.
Kama umemsikia Mkurugenzi wa TPA (mamlaka ya Bandari Tanzania) kwamba mizigo emepungua bandarini lakini ya Rwanda bado iko mingi. Kama kuna wanadiplomasia wameajiriwa na wanalipwa mshahara kwa kodi zetu, hii ya kupigania maslahi ya Tanzania ndiyo kazi yao!!
 
hii pekee haiwezi kuhalarisha upuuzi wanaofanya rwanda.wao wenyewe wana kiburi ndio maana pamoja na kujua wanatutegemea bado wamezingua.why not sisi!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mtu kapiga nchi lockdown ili kudhibiti Corona halafu mtu mwingine ambaye wala hajali maisha yake aje aniletee magonjwa? Hata hivyo Rwanda wamewavumilia sana wa Tz. Watu maisha yenu wenyewe hamuyajali itakuwa ya wenzenu?
Sasa si wabaki kwao sasa mbona wanakuja kwetu!
 
Sasa unafikiri nani ataumia? Waache wakae kwao na sisi tukae kwetu.
 
hao madereva wa tz washikilie hapohapo wasiachie.
sio sawa mwanadiplomasia watanzania kutia neno kwenye swala hili.ni wao rwanda walioanzisha utaratibu wa kuwazuia wabongo wasipeleke corona kwao alhali madereva wao wanawaruhusu kuifata corona kwetu ndo waseme kitu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda ilifunga mpaka na Uganda,na sasa Tanzania, ngoja tuone.ila zile simu za museveni,Kagame na Kenyatta, kuhusu Corona, ila kwa Magu wakazungumza mengine nje na Corona, l smelt a rat,and now it has materialised!
 
Uamuzi Wa Rwanda uko sahihi.Nchi lazima ilinde watu wake kwa nguvu zote
MADAI YA MADEREVA,NI KWAMBA MADEREVA WA RWANDA WAKAE KWAO,SI TANZANIA KUNA CORONA
SASA WANAKUJA KUFANYA NINI?
HAPO UKIANGALIA VIZURI KUNA VITA YA KIUCHUMI.
 
Kwa hiyo?
Na mizigo si itakuwa na COVID 19,
Waachane nayo.

wanataka kujimilikisha biashara ya usafirishaji
 
Washenzi Mkuu hawa jamaa, wanakawaida ya kujiona wao ni bora kuliko watu wengine.

Wanapenda kutukuzwa.

Ndio maana wahutu waliwacharanga.

Mijinga kabisa hii mijamaa
Msikie huyo jamaa eti wanapenda kujiona ndio wahutu waliwacharanga mapanga,hivi haufahamu kwamba wahutu ni wanyarwanda pia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mtu kapiga nchi lockdown ili kudhibiti Corona halafu mtu mwingine ambaye wala hajali maisha yake aje aniletee magonjwa? Hata hivyo Rwanda wamewavumilia sana wa Tz. Watu maisha yenu wenyewe hamuyajali itakuwa ya wenzenu?

Asante sana umemaliza


Blackberry
 
warwanda wajiulize kwanza nani anamtegemea mwenzake hapo , kati ya tanzania na rwanda nani anahitaji malori kuingia nchini mwake
nani mwenye bandari hapo 🤣 🤣 🤣

Na kama una bandari unaenda rwanda kufanya nini kaa na bandari yako upige picha unapiga mbizi ferry hapo


Blackberry
 
Yani mtu kapiga nchi lockdown ili kudhibiti Corona halafu mtu mwingine ambaye wala hajali maisha yake aje aniletee magonjwa? Hata hivyo Rwanda wamewavumilia sana wa Tz. Watu maisha yenu wenyewe hamuyajali itakuwa ya wenzenu?
Sasa Mkui yale malori yako inabidi uniuzie kwa bei ya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…