Unapomuekea MTU vikwazo dhidi yako utakua umejiwekea vikwazo pia wewe mwenyewe dhidi yake, ikiwa Madereva wa Tanzania wamezuiwa kuingia Rwanda ili wasipeleke Corona basi na Madereva wa Rwanda wazuiwe kuingia Tanzania ili wasije kuchukua Corona. Maana upande wowote utakaoruhusiwa kuingia upande mwengine unaweza kusambaza ugonjwa.
Kagame ana akili.
Namuunga mkono sana kwenye hili
Yaani mimi nisacrifice kuthibiti Korona hadi kufikia kuwapunguzia watumishi mishahara halafu mijitu ya nchi nyingine ije iharibu sacrifice yoote eti tu. kwa sababu raisi wao anatafuta shortcut ya tatizo
Kagame tuko pamoja, uko sahihi mara mia na nakushauri ili kulinda Afya za Wanyarwanda pitisha mizigo Mombasa mpaka ujiridhishe kuwa Tanzania ni salama.
Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu