Nadhani aliangalia dependency ya hizo nchi hasa kwenye suala la bandari na mazao. Nakuhakikishia hata kama nchi zote zinazoruzunguka zitafunga mipaka, atakayemuda ni Uganda pekee, wengie kama Kenya jaribu tu kutazama majiranibzake huko kaskazini ndipo utapata picha.Hivi ule uamuzi wa kutofunga mipaka kwa kuwa tunahudumia nchi nane,mie nilidhani magu kazungumza kwanza na wakuu wa nchi hizo,but it seems yeye alikuwa driven na revenue
Siyaamini kabisa haya makorona yenu feki.Hukuona walivyotimua mbio hospitali Amana? Usisahau taabu ya mgonjwa wa Corona si yeye tu kuzidiwa bali pia kwenye kuambukiza wengine ambapo na wenye magonjwa mengine wamo.
Kwamba bila Tz hawana option nyingine? Je ukipitia Beira kwa mfano unaweza kufika DRC au huwezi?Nadhani aliangalia dependency ya hizo nchi hasa kwenye suala la bandari na mazao. Nakuhakikishia hata kama nchi zote zinazoruzunguka zitafunga mipaka, atakayemuda ni Uganda pekee, wengie kama Kenya jaribu tu kutazama majiranibzake huko kaskazini ndipo utapata picha.
DRC na nchi nyingine land locked zilizotegemea bandari ya Dar zaweza kuathiriwa na maamuzi haya yasiyotazama athari za muda mrefu.
Ni mtazamo tu
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Hata ningekuwa mimi, lazima nilinde raia wangu kwa gharama yoyote.Uamuzi Wa Rwanda uko sahihi.Nchi lazima ilinde watu wake kwa nguvu zote
Hapa kuna kitu hujakielewa ndugu. Dereva anatafutwa na transporter (mwenye gari) na hapewi dereva asiemtaka na serikali ya Rwanda au yeyote yule. Utaratibu huo madereva kutoka Tanzania hawautaki maana unapunguza maslahi yao. Na serikali yetu ilishaarifiwa kabla ya utaratibu huo haujaanza kutekelezwa na ulikubaliwa. Mbona kenya na uganda wanatumia utaratibu huo na haujaleta kelele?Kiuhalisia hii sio sawa! Kama ni kuwazuia madereva wa Tanzania kuingia Rwanda basi bora Malori kutoka Tanzania yawe yanashusha mzigo boda then ya Rwanda yanapokea from there lakini sio kumuachia mtu usiyemjua gari yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiwazuia kabisa mizigo yao watapitishia Mombasa ndugu. Hasara atapata nani?Sasa kama madereva wa tz wanazuiwa Kuingia rwanda, kwanini wa rwanda waingie tz nao wapigwe pini
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wabongo mnazindika magari, akipewa Dreva mwingine bila ridhaa yenu ni shida.Kwa taarifa zinazoendelea kupatikana kutoka benako kuna magari 3 yameangushwa ndani ya Rwanda na wanyarwanda kwenye utaratibu fyongo huu unaolalamikiwa.
Hao Madereva wa Rwanda wakiingia Tanzania si watapata maambukizi na kuyapeleka Rwanda.Kila mmoja abaki nchini mwake.Pumbavu.Madereva wa TZ wana Korona wataambukiza Wanyarwanda kila watakapokwenda
Unampataje sasa huyo mnyarwanda wa kumuamini kumuachia gari? Bado tatizo lipo palepaleHapa kuna kitu hujakielewa ndugu. Dereva anatafutwa na transporter (mwenye gari) na hapewi dereva asiemtaka na serikali ya Rwanda au yeyote yule. Utaratibu huo madereva kutoka Tanzania hawautaki maana unapunguza maslahi yao. Na serikali yetu ilishaarifiwa kabla ya utaratibu huo haujaanza kutekelezwa na ulikubaliwa. Mbona kenya na uganda wanatumia utaratibu huo na haujaleta kelele?
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la kufungua mpaka walishalimaliza. Na hii issue ya maderva wa malori maraisi wa Kenya, Uganda na Rwanda wamekubaliana kuhusu utaratibu kama huu ambao madereva wetu hawautaki.Apitishie mizigo mombasa??? Unavyomaanisha aje apitishie mizigo Uganda na wakati huo huo haelewani na M7 kwa hiyo choice itabaki ni TZ tu hana ujanja huyo.
Hajui huyo kwamba mpaka sasa mpaka wa Rwanda na Uganda bado umefungwa kutokana na maelewano hafifu baina ya M7 na Kagameunadhani ni rahisi kama ulivyoandika hapa,jipe muda hata kupitia ramani uone mambo yalivyo,ukiachia mbali fukuto lake la chini chini na m7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni wakati wa Corona mkuu, imagine jamaa hata makaratasi hawapokei, lazima nyaraka zote za mzigo uzitume electronically, imebidi transporters wawaombe ma agents wao kuwatafutia madereva. Huwezi inabidi uachane na mizigo ya kwenda huko.Unampataje sasa huyo mnyarwanda wa kumuamini kumuachia gari? Bado tatizo lipo palepale
Kwahiyo kama bado kuna hata watu 10 tu wenye maambukizi si watawaambukiza watu waliotoka lockdown? , na mlipuko unarudi pale pale huku uchumi ukiwa taaban, si uwendawazimu huo?Rwanda visa 261.
Wamepona 128.
Ugonjwa bado upo View attachment 1440080
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukipita Durban South Africa utafika tu DRC, lakini ukitaka kuzungumzia hili, ongea uchumi (talk economics).Kwamba bila Tz hawana option nyingine? Je ukipitia Beira kwa mfano unaweza kufika DRC au huwezi?
haha haha haha pungezeni ujuaji!Madereva wao wako trained wasipeleke Korona kwao. Watajihadhari
Wakati madereva wabongo wenye korona wasio na discipline wanaweza kuambukiza wanyarwanda
Inategemwa unaposema kulinda raia una maana gani. Ulinzi wa wananchi hautazamwi kwa eneo moja moja pekee, kumbuka ni muunganiko wa shughuli mbalimbali kuleta picha ya pamojaHata ningekuwa mimi, lazima nilinde raia wangu kwa gharama yoyote.
Exactly!Sasa kama madereva wa tz wanazuiwa Kuingia rwanda, kwanini wa rwanda waingie tz nao wapigwe pini
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika nini hiki mdau?Endeleeni kujilinda sana ili sisi watanzania tukishakufa kwa korona sababu ya uzembe wa serikali yetu nyie mje mkalie na muishi katika ardhi hii maana nyie ni waafrika wenzetu. Bora nyie waafrika wenzetu mje muirithi nchi hii kuliko Wachina na Wazungu