Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

Asamehe bila kuombwa msamaha? Huenda Musiba akajitokeza kinafiki na kuwaomba msamaha ili yaishe! Hata akiomba msamaha, eleweni ni unafiki tu! Huyu mtu nasikia kuna kiongozi alimlipia mahari wakati akioa lakini baadaye akaja kumtukana akijifanya Mwanaharakati Huru!

Akinywee tu hicho kikombe!
 
MEMBE AKIMSAMEHE WATANZANIA WATASIKITIKA NA KUMSHANGAA SANA MEMBE. MUSIBA AMEDHALILISHA WATU WENGI BILA HURUMA. IWEJE ASAMEHEWE. ACHA DENI LIMTESE MPAKA SIKU YA KWENDA KABURINI. HIYO NI ADHABU KUTOKA KWA MUNGU.
 
Kwenye ule msiba Musiba alilia kwa uchungu akijua kabisa kinachoenda kutokea.
Ila hizo pesa mbona nyingi mpaka zinapoteza uhalisia?...huyo bwana akidaiwa milioni hamsini tu zinatosha kumpa adabu.
Kama hana cha kulipa awape vijana boga walitafune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…