n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Ni wakati wa majizi kustawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii amri ya mahakama chief.Mzee Membe kumbuka pia kwamba deni kalifungi.
Huyu nae ni mzee wa hovyo tuu...“Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu ni jibu kwamba ukidhalilishwa fika Mahakamani uitafute haki yako nimefika hapa kwa niaba ya watanzania wote na Viongozi Wastaafu walionyanyaswa na kudhalilishwa na Mtu huyu"
"Naomba wajue hili halitotokea tena, hasimami tena kudhalilisha Wazee na Viongozi wake, hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu, hasimami tena kuwatukana Watu walioifanyia kazi Nchi hii kwa uaminifu na uadilifu wote, anasimama Mtu kwa kutumwa na kulipwa akadhani kwamba ataendelea kuishi Duniani katika hali hiyo hamtomuona tena akifanya hivyo na Musiba huko uliko naomba hela zangu"
Bernard Membe
Pia, soma=> Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe
Yeye Membe kamshtaki Musiba, nawe kama umetukanwa na hao ukawashtaki hao.Vipi mange na kigogo walikuwa hawatukani?
Auze figoMusiba hana hela, kwa hiyo kwanza watafirisi mali yake kwenye kesi moja tu ya Fatma, ukiongeza na hii ya Membe ataonekana hatekelezi amri ya mahakama, hapo sasa ndio atafungwa.
Yule alikuwa ni loud speaker ya jiwe.Eti mwanaharakati wa kujitegemea. Shenzy
Nyoo unalitaman pagala langu hutupatiNatamani mtu anitukane😎😎
Plus takoAuze figo
Unajidanganya! Deni linafunga. Unaweza kufungwa as civil prisoner kwa gharama za anaekudai mpaka utakapolipa deni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja niongee na wakili wanguNyoo unalitaman pagala langu hutupati
Mdharirishaji mwingine ni "power kaaya"!
Kijana miaka 31 unamtongoza Mama mwenye miaka 60, huu ni udhalilishaji wa kijinsia!!
Nasubiri kusikia kutoka kwa Rais mwenye ngonjera ya jinsia ya kike atasemaje kuhusu Power kaaya!!
kuolewa kwa mahari kubwa ni mpaka bikra iwepo. je anayo ?😂 na umri ndio huo unakaribia 60Huyo boya ataolewa madeni yakizidi
Pamoja na hukumu ya mahakama, Cyprian Musiba anatakiwa kuomba msamaha HADHARANI ili kufuta makosa yake kwa aliyotenda,kwa vyombo na njia zilezile. Pia anatakiwa kutubu ili apate kusamehewa na kupokelewa na mwenyezi Mungu.Mzee msamehe kijana alikuwa anatafuta maisha.
Ajira wakuu hawakutoa kila mtu alibuni njia zake za kujipatia kipato wengine tuliamuaga kuwa wamachinga hata sisi tunahama tu taratibu kwa amri ya serikali sikivu ya mama yetu Mh Samia.
Ukimsaheme utajiongezea thawabu.