Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Sawa tutachagua huyo rais wa wananchi, anaitwa Nani ili tuone Kama Hana kashfa za ufisadi, uzinzi, ulevi nk. Tunahitaji kumfahamu mapema Kama tulivyomfahamu mapema Magufuli ambaye unapendekeza tusimpigie kura.
Sawa tutachagua huyo rais wa wananchi, anaitwa Nani ili tuone Kama Hana kashfa za ufisadi, uzinzi, ulevi nk. Tunahitaji kumfahamu mapema Kama tulivyomfahamu mapema Magufuli ambaye unapendekeza tusimpigie kura.
Alienda akakuta mlango umefungwa?Kwahiyo unataka tuvunje mlango au?
Huu ni mwezi juni mpaka inafika August hilo suala litakuwa tayariSasa kwanini asiende kuchukua form? Au hajui zinapopatikana?
Una ushahidi na hilo?Mwambie Magufuli amtolee copy, maana file limecorrupt baada ya kuprint copy moja.
Umetumia muda mwingi kunikashifu ukasahau kujibu swali ...CCM ni chama cha Kijamaa tangu kinaanzishwa mpka leo sasa kutoruhusu mgombea mwingine kuchukua fomu ni kitu cha kukushangaza? Ndio mana nimekupa mfano wa chama kingine cha kijamaa CPC cha china je huoni mfanano we unataka CCm iwe kama CHADEMA haiwezekani ndio mana nikakupa mfano Demokrasia ya Marekani huwezi ifananisha na Uingereza Kila nchi ina model yake ya Demokrasia vivyohivyo vyama vya siasa ...jibu hoja acha kuzungumzia watuYaani wewe akiliyako sijui huwa unaitumia kuifanyia nini mbona ubongo wako umelala sana hama ccm huko yaani umekuwa kama msukule.sasa bongo tuna malkia hapa mpaka tufananishe na UK.kwanza unamiaka mingapi maana unaonekana huna unalolijua.
Mkuu samahani lakini unamiaka mingapi maana kichwa chako kinaonekana kipo empty.daaah lumumba hii ni hatari zaidi ya hatari.Ccm kama chama cha siasa kinafata sera za ujamaa mpka leo hii kinaamini kwenye UJAMAA NA KUJITEGEMEA ... ndio mana hata marafiki wake wakubwa ni CPC ( the communist party of China) utaratibu wa kugombea unaweza ukawepo pia na utamaduni wa Chama ukawepo na ukafatwa sasa unapolazimisha CHADEMA WAFANANE NA Ccm ni kitu ambacho hakiwezekani kila chama kina mtindo wake wa kidemokrasia ( huwezi fananisha Demokrasia ya Uingereza na Marekani)
Chadema hawana mgombea Hadi Sasa. Wamejipima wameona hakuna hata mmoja anayeweza kujaribu kusimama kwenye urais na JPM ndo maana wamekomaa wanamtaka Membe labda wataweza kuangalia wa kupambana na Membe.Ila Membe wa chadema ndio anaweza
Membe anakuja chadema utampa kuraMagufuli maneno mengi na kioga oga sana. Mara Urais mgumu ohoo nimesukumiwa huko. Mpishe Membe sasa akusaidie, unang'ang'ana.
Na tunakoelekea Magufuli atang'ang'ania IKULU.
Aka kadikteta UCHWARA kizugaji sana.
Una ushahidi na hilo?
Sisi ccm mgombea wetu ni kachero mbobezi, chadema nahisi atakuwa lissu, unasema hatuna mgombea so unazani Mie ni mwana-act?Sawa, Sasa taja rais badala ya Magufuli siyo kusema Magufuli hawi rais bila kutaja Nani atakiwa rais.
Majitu hamna hata mgombea urais kila siku kubwabwaja tuu, Kama Magufuli atabaki bila kutaja wa kumtoa hakika atapita bila kupingwa.
ITATEGEMEA NIMEAMKAJE SIKU HIO.Tunamtafuta kama tunavyomtafuta aliyempiga Lisuz[emoji3][emoji3]
Chadema hawana mgombea Hadi Sasa. Wamejipima wameona hakuna hata mmoja anayeweza kujaribu kusimama kwenye urais na JPM ndo maana wamekomaa wanamtaka Membe labda wataweza kuangalia wa kupambana na Membe.
Kama Wana mgombea wataje jina, CCM wamemtaja Magufuli.
Mkuu china hakuna vyama vingi kule chama kimoja tu kwahiyo huwezi linganisha na Tz.sijui kama umenielewa.Umetumia muda mwingi kunikashifu ukasahau kujibu swali ...CCM ni chama cha Kijamaa tangu kinaanzishwa mpka leo sasa kutoruhusu mgombea mwingine kuchukua fomu ni kitu cha kukushangaza? Ndio mana nimekupa mfano wa chama kingine cha kijamaa CPC cha china je huoni mfanano we unataka CCm iwe kama CHADEMA haiwezekani ndio mana nikakupa mfano Demokrasia ya Marekani huwezi ifananisha na Uingereza Kila nchi ina model yake ya Demokrasia vivyohivyo vyama vya siasa ...jibu hoja acha kuzungumzia watu
Sasa si nimeshasema alipitishwa kugombea na Reps wengine 3?! Na ndio maana kwenye hiyo tweet, ameweka neno "sharti", akiwa na maana kwamba, ingawaje Trump officially ni Florida Resident, bado hatapewa favor ya kuwa "winner" wa Florida isipokuwa tu kama atawashinda akina Bill Weld!Nanukuu *Chama Cha Republican kimempitisha Donald Trump kuwa Mgombea kwa sharti la kushinda* mwisho wa kunukuu
Swali
Mgombea wa Republican nafasi ya Urais mwaka huu Ni Nani ?
Halafu mtu mwenyewe ukimbananisha kwenye angle hakuna anachokimbilia zaidi ya kumwaga matusi!!Mbona jiwe alijificha chato na alikaa kimya.achananae shemeji yetu huyo.
Laiti ungeshauri hivyo enzi za bro wako mkiwa mnamburuza shibuda, haya yasingekutokea. Madhari nawewe ni sehemu ya walioendekeza utamaduni huo, sasa faidi matunda ya kazi yenu.Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440