Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Sawa tutachagua huyo rais wa wananchi, anaitwa Nani ili tuone Kama Hana kashfa za ufisadi, uzinzi, ulevi nk. Tunahitaji kumfahamu mapema Kama tulivyomfahamu mapema Magufuli ambaye unapendekeza tusimpigie kura.
Tulia sindano ukuingie MATAGA Wewe. Mwambie Magufuli na mpwawe Dotto wamefisidi 1.5T. Dotto mahakama inamsubiria maana hana kinga,Segerea ileeee