Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Sawa tutachagua huyo rais wa wananchi, anaitwa Nani ili tuone Kama Hana kashfa za ufisadi, uzinzi, ulevi nk. Tunahitaji kumfahamu mapema Kama tulivyomfahamu mapema Magufuli ambaye unapendekeza tusimpigie kura.

Tulia sindano ukuingie MATAGA Wewe. Mwambie Magufuli na mpwawe Dotto wamefisidi 1.5T. Dotto mahakama inamsubiria maana hana kinga,Segerea ileeee
 
Ccm kama chama cha siasa kinafata sera za ujamaa mpka leo hii kinaamini kwenye UJAMAA NA KUJITEGEMEA ... ndio mana hata marafiki wake wakubwa ni CPC ( the communist party of China) utaratibu wa kugombea unaweza ukawepo pia na utamaduni wa Chama ukawepo na ukafatwa sasa unapolazimisha CHADEMA WAFANANE NA Ccm ni kitu ambacho hakiwezekani kila chama kina mtindo wake wa kidemokrasia ( huwezi fananisha Demokrasia ya Uingereza na Marekani)
 
Yaani wewe akiliyako sijui huwa unaitumia kuifanyia nini mbona ubongo wako umelala sana hama ccm huko yaani umekuwa kama msukule.sasa bongo tuna malkia hapa mpaka tufananishe na UK.kwanza unamiaka mingapi maana unaonekana huna unalolijua.
Umetumia muda mwingi kunikashifu ukasahau kujibu swali ...CCM ni chama cha Kijamaa tangu kinaanzishwa mpka leo sasa kutoruhusu mgombea mwingine kuchukua fomu ni kitu cha kukushangaza? Ndio mana nimekupa mfano wa chama kingine cha kijamaa CPC cha china je huoni mfanano we unataka CCm iwe kama CHADEMA haiwezekani ndio mana nikakupa mfano Demokrasia ya Marekani huwezi ifananisha na Uingereza Kila nchi ina model yake ya Demokrasia vivyohivyo vyama vya siasa ...jibu hoja acha kuzungumzia watu
 
Ccm kama chama cha siasa kinafata sera za ujamaa mpka leo hii kinaamini kwenye UJAMAA NA KUJITEGEMEA ... ndio mana hata marafiki wake wakubwa ni CPC ( the communist party of China) utaratibu wa kugombea unaweza ukawepo pia na utamaduni wa Chama ukawepo na ukafatwa sasa unapolazimisha CHADEMA WAFANANE NA Ccm ni kitu ambacho hakiwezekani kila chama kina mtindo wake wa kidemokrasia ( huwezi fananisha Demokrasia ya Uingereza na Marekani)
Mkuu samahani lakini unamiaka mingapi maana kichwa chako kinaonekana kipo empty.daaah lumumba hii ni hatari zaidi ya hatari.
Kaa kimya tu kuulinda huo uzuzu wako.
 
Ila Membe wa chadema ndio anaweza
Chadema hawana mgombea Hadi Sasa. Wamejipima wameona hakuna hata mmoja anayeweza kujaribu kusimama kwenye urais na JPM ndo maana wamekomaa wanamtaka Membe labda wataweza kuangalia wa kupambana na Membe.
Kama Wana mgombea wataje jina, CCM wamemtaja Magufuli.
 
Magufuli maneno mengi na kioga oga sana. Mara Urais mgumu ohoo nimesukumiwa huko. Mpishe Membe sasa akusaidie, unang'ang'ana.
Na tunakoelekea Magufuli atang'ang'ania IKULU.
Aka kadikteta UCHWARA kizugaji sana.
Membe anakuja chadema utampa kura
 
Shibuda alipotaka kuchukua fomu dhidi ya Kikwete hiyo 2010 hao akina Membe waliona haiwahusu leo hii analialia kama hii issue imeanza leo.

Zimebaki siku 5 tu zoezi la kurejesha fomu lifungwe yeye bado yupo Twitter anapiga porojo.

Kama vipi ahamie Marekani akachuane na Trump.
 
Sawa, Sasa taja rais badala ya Magufuli siyo kusema Magufuli hawi rais bila kutaja Nani atakiwa rais.
Majitu hamna hata mgombea urais kila siku kubwabwaja tuu, Kama Magufuli atabaki bila kutaja wa kumtoa hakika atapita bila kupingwa.
Sisi ccm mgombea wetu ni kachero mbobezi, chadema nahisi atakuwa lissu, unasema hatuna mgombea so unazani Mie ni mwana-act?
 
Duu! Kwa iyo awe rais ili amzidi Magu kiutendaji, au aruhusu ufujaji serikalini!
 
Chadema hawana mgombea Hadi Sasa. Wamejipima wameona hakuna hata mmoja anayeweza kujaribu kusimama kwenye urais na JPM ndo maana wamekomaa wanamtaka Membe labda wataweza kuangalia wa kupambana na Membe.
Kama Wana mgombea wataje jina, CCM wamemtaja Magufuli.

Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Waliotia nia cdm ni wengi, ila kamati kuu ndio itampitisha mmoja kati ya hao. Huyo wa ccm kapitishwa na kikao gani? Au yesu huwa anapita tu bila kupingwa?
 
Umetumia muda mwingi kunikashifu ukasahau kujibu swali ...CCM ni chama cha Kijamaa tangu kinaanzishwa mpka leo sasa kutoruhusu mgombea mwingine kuchukua fomu ni kitu cha kukushangaza? Ndio mana nimekupa mfano wa chama kingine cha kijamaa CPC cha china je huoni mfanano we unataka CCm iwe kama CHADEMA haiwezekani ndio mana nikakupa mfano Demokrasia ya Marekani huwezi ifananisha na Uingereza Kila nchi ina model yake ya Demokrasia vivyohivyo vyama vya siasa ...jibu hoja acha kuzungumzia watu
Mkuu china hakuna vyama vingi kule chama kimoja tu kwahiyo huwezi linganisha na Tz.sijui kama umenielewa.
Katiba ya ccm inaluhusu kugombea urais kama atatokea mtu atakae tia nia.kama miaka iliyopita hakutokea mtu wakutia nia basi isiwe sababu na mwaka huu asiwepo.
Membe katia nia mwaka huu mbona mnamkatalia wakati katiba inaruhusu.
 
Nanukuu *Chama Cha Republican kimempitisha Donald Trump kuwa Mgombea kwa sharti la kushinda* mwisho wa kunukuu

Swali
Mgombea wa Republican nafasi ya Urais mwaka huu Ni Nani ?
Sasa si nimeshasema alipitishwa kugombea na Reps wengine 3?! Na ndio maana kwenye hiyo tweet, ameweka neno "sharti", akiwa na maana kwamba, ingawaje Trump officially ni Florida Resident, bado hatapewa favor ya kuwa "winner" wa Florida isipokuwa tu kama atawashinda akina Bill Weld!

Akishashinda hapo, ndipo ataondoka na kapu lote lenye Florida Delegates including wale ambao hawatampigia!
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
Laiti ungeshauri hivyo enzi za bro wako mkiwa mnamburuza shibuda, haya yasingekutokea. Madhari nawewe ni sehemu ya walioendekeza utamaduni huo, sasa faidi matunda ya kazi yenu.
 
Back
Top Bottom