NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #41
[emoji23] Sasa mkuu si tunawasilisha haya maoni wayafanyie kazi.Watani zangu wana ,[emoji881]si muda wakutafuta mchawi,alisha wapeni madhara, achaneni na yote gangeni yajayo,zaidi zaidi msiwe na nyie wachawi wetu,acheni kesho tuwabebeni,tulibebe taifa.[emoji848]
Bench nalo lina maamuzi vipi kama liliona ni Kheri kumuacha aliyekuwepo kuliko kufanya maamuzi ya dharura,dakika mbaya🤔[emoji23] Sasa mkuu si tunawasilisha haya maoni wayafanyie kazi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo dogo aliulizwa na shabalala na akakubali atoke aingie mwingine Sasa shida ipo wapiBench nalo lina maamuzi vipi kama liliona ni Kheri kumuacha aliyekuwepo kuliko kufanya maamuzi ya dharura,dakika mbaya[emoji848]
Hiyo inaitwa kupatwa kwa jua,kocha aliingia ganzi ilhali bench lake la ufundi,ikabaki kutegemea kudra.Huyo dogo aliulizwa na shabalala na akakubali atoke aingie mwingine Sasa shida ipo wapi
Kisaikolojia tayar ameshaandaa akili kuwa anatoka.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo chamajr aligeuka kuwa CHAUMAIshu ya penati tunamtegemea kwanza mpigaji halafu ndyo tunaomba neema ya kipa
Waarabu wao walipiga kwa usahihi kisha wakamuachia kipa kama anaweza okoa sasa hili la kujadili kipa wakati kuna players walipiga penati mlenda c sawa
Ndiyo kwani chama ni mpigaji mzuri wa penati??Vip kwa waliokosa?? Nao kepteni alitaka wafanyiwe sub ili waingie wapigaji wazoefu???[emoji1787][emoji1787]
Wale ni untouchable. Tunatafuta mnyonge wa kumuangushia jumba bovu.Ishu ya penati tunamtegemea kwanza mpigaji halafu ndyo tunaomba neema ya kipa
Waarabu wao walipiga kwa usahihi kisha wakamuachia kipa kama anaweza okoa sasa hili la kujadili kipa wakati kuna players walipiga penati mlenda c sawa
Mzee unatupa Nini hapo ndom au .[emoji706][emoji706][emoji706]
Mtoa mada utopolo mwenzakoMmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi
Guvu moya 😀
Luzaz lini?futuhiMmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi
Guvu moya [emoji3]
Wewe mpira uliangalia mpaka mwisho??Mohames Hussein Alikuwa anaomba sub ya KIBU aliyekuwa ameumia ameshindwa kuendelea na mchezo, sio Golikipa.
WADANGANYE WAJINGA WENZIO.
Mtasubiri sanaaa..Nyie kugombana ni kawaida tu. Ngoja ligi iishe utaona 😅😅
Simba apewe maua yakeMtasubiri sanaaa..
Kwa Simba hii
Ktk siku nimeangalia habri za michezo TV zote ni kwamba mashabiki hawana deni na timu na benchi lote la ufundi ...
Acheni hizo bnana!!huyo manula mwaka jana aliokoa penalty ngapi?!!Tulisha wachoka na mambo yenu hayo.Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum nakumuuliza kuwa ataweza kudaka penati
Ally Salum alisema/alionyesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.
Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonyesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionyesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi Lili kaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)
Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo Hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.