Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Benchi la ufundi la Simba SC lilikaidi maelekezo (maagizo) kutoka kwa kepteini Mohammed Hussein

Watani zangu wana ,[emoji881]si muda wakutafuta mchawi,alisha wapeni madhara, achaneni na yote gangeni yajayo,zaidi zaidi msiwe na nyie wachawi wetu,acheni kesho tuwabebeni,tulibebe taifa.[emoji848]
[emoji23] Sasa mkuu si tunawasilisha haya maoni wayafanyie kazi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bench nalo lina maamuzi vipi kama liliona ni Kheri kumuacha aliyekuwepo kuliko kufanya maamuzi ya dharura,dakika mbaya[emoji848]
Huyo dogo aliulizwa na shabalala na akakubali atoke aingie mwingine Sasa shida ipo wapi

Kisaikolojia tayar ameshaandaa akili kuwa anatoka.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ishu ya penati tunamtegemea kwanza mpigaji halafu ndyo tunaomba neema ya kipa
Waarabu wao walipiga kwa usahihi kisha wakamuachia kipa kama anaweza okoa sasa hili la kujadili kipa wakati kuna players walipiga penati mlenda c sawa
 
Kwa hiyo chamajr aligeuka kuwa CHAUMA

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ishu ya penati tunamtegemea kwanza mpigaji halafu ndyo tunaomba neema ya kipa
Waarabu wao walipiga kwa usahihi kisha wakamuachia kipa kama anaweza okoa sasa hili la kujadili kipa wakati kuna players walipiga penati mlenda c sawa
Wale ni untouchable. Tunatafuta mnyonge wa kumuangushia jumba bovu.

Ajabu kweli. Yaan watu wawili wamekosa penalti, anaenda kulaumiwa kipa ambae kudaka kwake penalti ni hisani tu.
 
Mmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi

Guvu moya 😀
Mtoa mada utopolo mwenzako
 
Mmeanza sasa,mbona sikuona dalili yoyote ile ya hayo unayosema,Kipa alilala chini kusogeza muda angalau waende kwenye matuta baada ya kuona wale jamaa wanakuja Kwa speed sana.Hata angeingia Beno angeweza kufungwa tu,samtaimzi tukubali matokeo ya mpira wa miguu......tuache kutafuta mchawi

Guvu moya [emoji3]
Luzaz lini?futuhi
 
Mohames Hussein Alikuwa anaomba sub ya KIBU aliyekuwa ameumia ameshindwa kuendelea na mchezo, sio Golikipa.

WADANGANYE WAJINGA WENZIO.
 
Nyie kugombana ni kawaida tu. Ngoja ligi iishe utaona 😅😅
Mtasubiri sanaaa..
Kwa Simba hii
Ktk siku nimeangalia habri za michezo TV zote ni kwamba mashabiki hawana deni na timu na benchi lote la ufundi ...
 
Mtasubiri sanaaa..
Kwa Simba hii
Ktk siku nimeangalia habri za michezo TV zote ni kwamba mashabiki hawana deni na timu na benchi lote la ufundi ...
Simba apewe maua yake
1682794682085.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilidhan jana makolo wangefuzu ½ fainali, ila kadri dakika zilivyoenda nikagundua bench la ufundi hawana akili, coach wa makipa wa Simba apigwe makofi hakumuandaa dogo kudaka penat, coach apigwe makofi angecheza Psychological game angemtoa Dogo angemuingiza Kakolanya adake penat, inshort jana coach alikua anauwezo wa kulazimisha afuzu kwa kupata sare ya 1-1... Wydad jana walicheza kawaida sana ni vile simba walifeli kimbinu...
 
Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum nakumuuliza kuwa ataweza kudaka penati

Ally Salum alisema/alionyesha ishara ya kuwa hatoweza kudaka penati.
Keptein Mohammed Hussein alimwambia jidondoshe ili ufanyiwe sub aingie kipa mwingine.

Bwana mdogo alitii agizo kutoka kwa keptein na akawa anaonyesha ishara ya kufanyiwa sub na keptein alionyesha ishara ya sub lakini benchi la ufundi Lili kaidi kwa kile alichokua anakiomba keptein Mohammed Hussein (Tshabalala)

Kwa hiki lawama ziende kwenye benchi la ufundi Simba sc kwa kukaidi maelekezo kutoka kwa keptein kwani bwana mdogo Hana experience ( uzoefu) katika kudaka penati lakini benchi la ufundi lilifumba macho.
Acheni hizo bnana!!huyo manula mwaka jana aliokoa penalty ngapi?!!Tulisha wachoka na mambo yenu hayo.
 
Back
Top Bottom