Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #41
Hapa ndo wanazidi kutuchanganya kabisa .nimesoma sehemu Tena ndege za uturuki zinawashambulia waasi wa kikurdi huku tunaambiwa hichi kikosi kilichomuondoa Assad kinasaidiwa na uturuki. Syria ina mchanganyiko wa hatariNa waasi walishasema majeshi ya russia yaendelee kubaki na hawatashambulia mali na assets za russia.