Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #101
ππππUlichokifanya juu pale kwa Yahya Al Sinwar unaona sawa au ni kutaka ugomvi na watu humu ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππUlichokifanya juu pale kwa Yahya Al Sinwar unaona sawa au ni kutaka ugomvi na watu humu ππ
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaogeaJisemee mwenyewe ewe chawa wa CCM .
Hata JPM alisema haya maneno!CCM ni kama maji usipoyanywa utayaogea
Kweli kabisa haoni shida hata kubadili dini huyuPutin anakuwa mtu wa kushirikiana na hata fisi ilimradi tu yeye mambo yake yawe sawa, maana huko anakoenda anakujua mwenyewe
Sio kweli mipango ilisukwa na ikasukika, Assad alikuwa tepetepe subiri uone kazi, huoni namna Assad alivyopinduliwa kirahisi, Iran walitoa wanajeshi wao na urusia pia walitulia na Assad akapewa maisha Russia yeye na familia yake. bado hujaamka tu?
Enzi za Al Assad zimekwisha....Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa.
Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya bendera ya taifa hilo katika ubalozi wa nchi hiyo huko Moscow Urusi na bendera hiyo mpya kupandishwa na ya zamani kuteremshwa.
Kwa wanaojua vizuri masuala ya kidiplomasia ni mpaka nchi mwenyeji aridhie balozi ndio mambo mengine yaendelee. Wakati huo huo Assad aliyekua Rais wa Syria nae yupo urusi akiwa kapatiwa hifadhi ya kibinadamu.
Acha tuone mbele kitatokea nini.View attachment 3173096
Mm nikadhani ame jiita Jacobo.Wakuu,kiongozi wa HTS kabadilisha Jina na sasa anaitwa Jina lake j8pya Ahmed Al Sharaa, anasema lile la Abu Mohammed Al Jawlandi lilikuwa la Kigaidi.
Kwanini?Mm nikadhani ame jiita Jacobo.
We endelea kuota huko ulipo mchamba wima kama unataka kuwamaliza wazayuni nenda wewe mfia dini uchwara ukiwa nyuma ya kiboard na msuli wa kanga ya dada yako, wenzio huko sasaivi wanawaza kujenga nchi yao wewe umekalia ujinga tu, wakati hata sauti ya mpasuko wa tairi ya pikipiki unakukimbiza, nguruwe wewe ππMkuu mwenye macho haambiwi tazama, sasa ni wazi kwamba waliochukua nchi Syria ndio wenye ubavu wa kupambana na Israel Assad alikuwa tepetepe, Assad alikuwa hana majibu alipokuwa akishambuliwa na mazayuni sasa wanaume wameishika kambi subiri mziki uanze.,
Ivi wewe huoni kwamba Assad amekuwa laini sana kupinduliwa? Iran walirudisha majeshi yao na jeshi lilokuwa linamlinda Assad pia walitokomea makusudi hakuna ata mzinga mmoja uliolia. Wacha bendera ipandishwe juu mkuu
Utakataa balozi.. huwezi kukataa benders. Elewa ndugu.Host country ana Haki ya kukataa balozi ya nchi husika. Kwahiyo kama balozi kapokelewa basi Russia kaitambua Serikali. Hata hapa Tanzania mara kibao serikali imeshakataa kupokea mabalozi wa nchi kadhaa
Ni sahihi. Inawezekana hilo mkuu.Huenda kuna mazungumzo na makubaliano kati ya Urusi, waasi, na Assad ambayo hayajatangazwa hadharani.
Acha matusi.We endelea kuota huko ulipo mchamba wima kama unataka kuwamaliza wazayuni nenda wewe mfia dini uchwara ukiwa nyuma ya kiboard na msuli wa kanga ya dada yako, wenzio huko sasaivi wanawaza kujenga nchi yao wewe umekalia ujinga tu, wakati hata sauti ya mpasuko wa tairi ya pikipiki unakukimbiza, nguruwe wewe ππ
Balozi na bendera vinaenda pamoja. Ukikubali bendera ina maana na umekubali ubalozi.Utakataa balozi.. huwezi kukataa benders. Elewa ndugu.
Balozi na bendera.Balozi na bendera vinaenda pamoja. Ukikubali bendera ina maana na umekubali ubalozi.
Bendera siyo kitu binafsi. Bendera inawakilisha nchi na serikali.Balozi na bendera.
vinaenda pamoja kivipi?? Always ujue balozi zote ni sehemu ya nchi husika.. na nchi mwenyeji haiwez kuingilia vitu binafsi kama hivyo... otherwise utakuwa unatafuta mgogoro wa kiduplomasia... Always bendera inakuwepo au ubalozi unakuwepo ila balozi anaweza kubadilishwa muda wowote. Usichanganye vitu. Kuna nchi zinakataa balozi fulani aliyepelekwa kutokana na historia ya balozi binafsi hasa kwenye mambo ya kidiplomasia...
Ndio kitu binafsi cha nchi husika nchi nyingne haiwezi kuingilia wala kuipangia wapandishe bendera ya aina ganiBendera siyo kitu binafsi. Bendera inawakilisha nchi na serikali.
Bendera inawakilisha Nini?Ndio kitu binafsi cha nchi husika nchi nyingne haiwezi kuingilia wala kuipangia wapandishe bendera ya aina gani