Bendera mpya ya Syria yapandishwa Leo katika ubalozi wa nchi hiyo Mjini Moscow Urusi

Bendera mpya ya Syria yapandishwa Leo katika ubalozi wa nchi hiyo Mjini Moscow Urusi

Putin anakuwa mtu wa kushirikiana na hata fisi ilimradi tu yeye mambo yake yawe sawa, maana huko anakoenda anakujua mwenyewe
Kweli kabisa haoni shida hata kubadili dini huyu

Hapo ameona akijifanya kukaza fuvu ataikosa keki ya syria wakiwa wanagawana wakubwa.. na huku yeye tayar alishakuwa jikoni .. kaamua fasta

Kumbuka ana military base pale na anajua akikaa nyuma western wakawakumbatia hao viongoz wapya basi shughulo imeisha
 
Sio kweli mipango ilisukwa na ikasukika, Assad alikuwa tepetepe subiri uone kazi, huoni namna Assad alivyopinduliwa kirahisi, Iran walitoa wanajeshi wao na urusia pia walitulia na Assad akapewa maisha Russia yeye na familia yake. bado hujaamka tu?

Sasa kazi gan isubiriwe hivi mnaona kama rusia ndio the Almight hawezi kuchoshwa.. Russia nao binadamu wakiona kuwa maji yamezidi unga kulinda interest zao wanabadili upepo inaruhusiwa hiyo.. alishafanya hivyo mara kibao tu.. same as US

Always interest zao watazilinda iwe kwa nguvu wakiona nguvu imechsha kama sasa hivi basi wataleta propaganda. Na diplomatic solution. Tatizo sie tunaangilia kishabiki

Ukitaka kujua sie tuko kishabiki
Wakati wao wako kimakakati angalia majibu ya Putin kwenye suala la Brics kuhusu dollar ndo utajua kuwa wote wako kimakakati US na Urusi ila sie tunaenda kishabiki wakat wao wanafanya calculated risk kipi kifanyike kipi kisubiri

Jiulize Us kushupalia cease fire ya Hizbola/lebanon. Na isreal kuliko ya gaza..wakat chanzo cha hiyo vita ni gaza. Then ghafla baada ya cease fire syrian vita kuibuka fasta ndan ya 11 days Assad hayupo..

Watu walishangilia Israel kachemsha lebanon ila wenzetu wako hatu nyingi mbele sie tunajua tunachoneshwa kwenye TV na pande zote mbili huku kila moja ikisema lake ila nyuma ya pazia kuna hesabu kali zinapigwa
 
Wakuu,kiongozi wa HTS kabadilisha Jina na sasa anaitwa Jina lake jipya Ahmed Al Sharaa, anasema lile la Abu Mohammed Al Jawlandi lilikuwa la Kigaidi.
 
Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa.
Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya bendera ya taifa hilo katika ubalozi wa nchi hiyo huko Moscow Urusi na bendera hiyo mpya kupandishwa na ya zamani kuteremshwa.

Kwa wanaojua vizuri masuala ya kidiplomasia ni mpaka nchi mwenyeji aridhie balozi ndio mambo mengine yaendelee. Wakati huo huo Assad aliyekua Rais wa Syria nae yupo urusi akiwa kapatiwa hifadhi ya kibinadamu.
Acha tuone mbele kitatokea nini.View attachment 3173096
Enzi za Al Assad zimekwisha....
 
Mkuu mwenye macho haambiwi tazama, sasa ni wazi kwamba waliochukua nchi Syria ndio wenye ubavu wa kupambana na Israel Assad alikuwa tepetepe, Assad alikuwa hana majibu alipokuwa akishambuliwa na mazayuni sasa wanaume wameishika kambi subiri mziki uanze.,

Ivi wewe huoni kwamba Assad amekuwa laini sana kupinduliwa? Iran walirudisha majeshi yao na jeshi lilokuwa linamlinda Assad pia walitokomea makusudi hakuna ata mzinga mmoja uliolia. Wacha bendera ipandishwe juu mkuu
We endelea kuota huko ulipo mchamba wima kama unataka kuwamaliza wazayuni nenda wewe mfia dini uchwara ukiwa nyuma ya kiboard na msuli wa kanga ya dada yako, wenzio huko sasaivi wanawaza kujenga nchi yao wewe umekalia ujinga tu, wakati hata sauti ya mpasuko wa tairi ya pikipiki unakukimbiza, nguruwe wewe πŸ–πŸ–
 
Acha matusi.
 
Balozi na bendera vinaenda pamoja. Ukikubali bendera ina maana na umekubali ubalozi.
Balozi na bendera.
vinaenda pamoja kivipi?? Always ujue balozi zote ni sehemu ya nchi husika.. na nchi mwenyeji haiwez kuingilia vitu binafsi kama hivyo... otherwise utakuwa unatafuta mgogoro wa kiduplomasia... Always bendera inakuwepo au ubalozi unakuwepo ila balozi anaweza kubadilishwa muda wowote. Usichanganye vitu. Kuna nchi zinakataa balozi fulani aliyepelekwa kutokana na historia ya balozi binafsi hasa kwenye mambo ya kidiplomasia...
 
Bendera siyo kitu binafsi. Bendera inawakilisha nchi na serikali.
 
Back
Top Bottom