Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

mbona wengi wetu wameweka bendera za kiarabu tena za mataifa kama iran/saudia/etc na hamjazianzishia uzi????? closed mind zenu hizo.
 
Wewe umejawa na chuki kwa taifa teule utakufa na kijiba cha roho
hahaha,hamia Israel ukapewe uraia, tuache na Tanzania yetu, kawe mteule Israel! otherwise kuwapapatikia waisrael ni uzumbukuku,na sio hao hata any other nation! baada ya kuwa proud na nchi yako!
 
Well said mkuu!!!
Mkuu tukopamoja tuna watu wanahisi watakuwa waisraelsiku moja, au wamarekani, lakini hata arusha hajafika, ni lazima tudeal na watu wanaotaka kugeuka mawe! wasiojitambua!
 
Mbona mimi nimeweka bendera ya Israel chumbani kinachowauma nini au mlitaka tuweke bendera ya Libya ndio mfurahi wakati Gaddaff hata kaburi lake halijulikani wache hizo.
 
Ni ishara kuwa wanakubaliana na itikadi yao au ni wadau wa itikadi za Israel, kama nao Israel ni wadau wa itikadi za kitanzania ni ruksa kuweka bendera, sio israel kama taifa, ni ITIKADI.
 
Mbona mimi nimeweka bendera ya Israel chumbani kinachowauma nini au mlitaka tuweke bendera ya Libya ndio mfurahi wakati Gaddaff hata kaburi lake halijulikani wache hizo.
........Duniani wapumbavu ni wengi ndio maana 'chaos' haziishi !
 
Bendera ya Israel inaitwa 'the star of David.' Wanaoitundika popote pale ni wakristo na wanaihusisha na imani yao ya kikristo. Wengi wetu tunafahamu uhusiano kati ya mfalme na nabii Daudi na masihi Yesu Kristo. Hakuna siasa katika hili.
Hao Wayahudi wenye hiyo Bendera ndo walio muua Yesu na wanamwita Mwanaharamu !
 
Hata Mzee wa Upako ameshtuka, yakwake ameing'oa pale Kanisani
 
Zile Biblia unazo zikuta Guest House (Gidion Bible) wageni nao huwa wanajikurubisha na Yesu !? Bhampupile le
 
vWewe lakokwo umepewa na nani !? Vonix
 
Naamini Mungu habagui kuwa eti Jews wamebarikiwa au sijui eti ni wateule halafu wengine huku Africa ni grade Ya chini.
We are all children of God in his eyes regardless whether you are african or Jew
 
Hizi imani za kishamba, taifa teule na sisi taifa letu ni la kawaida?
Nawakubali Israel kwa ubabe na msimamo, bhaaaas!
Pole kwa kuukataa ukweli lakini ujue aikataaye kweli na hali kweli inaishi bas kweli hiyo humtafuna MTU huyo
 
kun

nadhani ni kasumba tu kwa baadhi ya wafuasi wa yesu kudhani bendera ya kizayuni ya israeli inawakilisha israel ya ndani ya biblia takatifu. israel ya leo ni nchi ya mazayuni wabaguzi wakubwa. ni nchi sawa na apartheid south africa.
Baraka huwa hainyang'anywi ingekua ni nchi ya kawaida bas tungeshuhudia kudorola kwake lakini it was blessed!! It will hits their enemies for defending itself!!
 
Binafsi naipenda saana Israeli,Bendera yao utaikuta kwenye Gari yangu pia ofisini, shalom Jerusalem, shalom Israel nmwaaa[emoji8]
Kuiweka bendera hiyo ya Israeli ni uungaji mkono Mkubwa kwa Israeli na kinyume chake ni kama ambavyo siifagilii Iran![emoji53]
 
Ebu fuatilia vita yake na mataifa ya waarab!! Utajua Israel inafanya kujilinda au kufanya ubabe!! Arabs have no good!!lengo lao waitoe Israel ktk ramani ya middle east na hapo ndipo mnauona ubaya wa israel
 
We ni nani hata umshangae mungu!! Najua utakua ni wale wanaofata kizazi cha ishmael .Hujui mungu kwann aliichagua Israel ni kwa sabab ktk Israel ndipo alikokuepo nabii alie mtii yy na akambariki !! Ni nguvu ya babu zao waliomchagua na kumtumikia mungu wakati waarab wakiabudu sanam na waafrika wakiabudu mizimu!! Leo unasema kwann aliwachagua ulitaka amchague bab yako aliekua anaabudu mizimu na majini
 
Najua dini yako
 
Sasa wewe kwani nani kakwambia waisrael wote ni watakatifu!! Kuna waovu na wema vilevile!! Na huko hakuondoi baraka waliopewa!! Tena bora ya Israel kuliko waarabu or Arabs wamefanya biashara ya utumwa,kuua watu,na ndio taifa pekee kat ya makolon lililoing'ang'ania biashara ya kuuza watu had Leo nchini mwao utumwa wa mwafrika upo!! Halafu anawaletea dini mnapokea nyie mnaakili au matope yy alimjua Allah na bado alikua katil kauza watumwa,kuwatesa alikua hamjui Huyo Allah au??
Tena baada ya uarabuni ndio kuwe na black Arabs kwa sabab misururu mingi ndo ilikua inaelekea huko lakini hamna walienda WAP?? Aliwauwa na kuwahas sasa uyo MTU aje akwambie dini ukubal?? Unashida ni bora kumkubal mpagani kuliko CHOCHOTE cha hao watu hawana utu!!
Israel is good haijawahi kutawala au kuwa katil kiivo na dini yake inasadiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…