Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha,hamia Israel ukapewe uraia, tuache na Tanzania yetu, kawe mteule Israel! otherwise kuwapapatikia waisrael ni uzumbukuku,na sio hao hata any other nation! baada ya kuwa proud na nchi yako!Wewe umejawa na chuki kwa taifa teule utakufa na kijiba cha roho
Mkuu tukopamoja tuna watu wanahisi watakuwa waisraelsiku moja, au wamarekani, lakini hata arusha hajafika, ni lazima tudeal na watu wanaotaka kugeuka mawe! wasiojitambua!Well said mkuu!!!
Ni ishara kuwa wanakubaliana na itikadi yao au ni wadau wa itikadi za Israel, kama nao Israel ni wadau wa itikadi za kitanzania ni ruksa kuweka bendera, sio israel kama taifa, ni ITIKADI.
........Duniani wapumbavu ni wengi ndio maana 'chaos' haziishi !Mbona mimi nimeweka bendera ya Israel chumbani kinachowauma nini au mlitaka tuweke bendera ya Libya ndio mfurahi wakati Gaddaff hata kaburi lake halijulikani wache hizo.
Hao Wayahudi wenye hiyo Bendera ndo walio muua Yesu na wanamwita Mwanaharamu !Bendera ya Israel inaitwa 'the star of David.' Wanaoitundika popote pale ni wakristo na wanaihusisha na imani yao ya kikristo. Wengi wetu tunafahamu uhusiano kati ya mfalme na nabii Daudi na masihi Yesu Kristo. Hakuna siasa katika hili.
Hata Mzee wa Upako ameshtuka, yakwake ameing'oa pale KanisaniHuna haja ya kijiuliza sn, historia ya Taifa la Israel ndio pekee inajulikana toka kuumbwa kwa dunia hii,, wakati historia ya Tanzania imeanzia hapo juzi wakt wa Mjerumani,,
Pia kwenye Biblia imeandikwa kila Ailaanie Israel nae Atalaaniwa na kila Aibarikie Israel naye pia Atabarikiwa , hivyo watu kutundikwa kwa bendera za Israel watu wanatafuta Baraka ndio maana unaziona kwa watu waliobarikiwa zikiwa ndani ya Magari,,
Bendera hizi huzikuti kwenye Bar, Casino, au kwenye Guest house bali unazikuta kwenye uwepo wa Mungu pale watu wanapohitaji ukaribu wa Mungu uwe nao wawapo safarini nk.
Zile Biblia unazo zikuta Guest House (Gidion Bible) wageni nao huwa wanajikurubisha na Yesu !? Bhampupile leHuna haja ya kijiuliza sn, historia ya Taifa la Israel ndio pekee inajulikana toka kuumbwa kwa dunia hii,, wakati historia ya Tanzania imeanzia hapo juzi wakt wa Mjerumani,,
Pia kwenye Biblia imeandikwa kila Ailaanie Israel nae Atalaaniwa na kila Aibarikie Israel naye pia Atabarikiwa , hivyo watu kutundikwa kwa bendera za Israel watu wanatafuta Baraka ndio maana unaziona kwa watu waliobarikiwa zikiwa ndani ya Magari,,
Bendera hizi huzikuti kwenye Bar, Casino, au kwenye Guest house bali unazikuta kwenye uwepo wa Mungu pale watu wanapohitaji ukaribu wa Mungu uwe nao wawapo safarini nk.
vWewe lakokwo umepewa na nani !? Vonix-Period..kama ni mkristo haya maneno utayakuta kwenye Biblia hata mtu ungewaita eti wanadharau wanajisikia,mara ni wabaguzi haisaidii nani sio mbaguzi??nani hajisikii?? nani hana dharau??tuanzie hapo.Wala tusiwasingizie hapa kwetu vipi hakuna hayo??mara'' aaah hawa tutafanya makosa makosa yote lakini si kuwapa ikulu''hiyo ni nini??''hawa ni hizbu zanzibar ni ya weusi''hayo mambo mwanadamu kaumbiwa lakini ayashinde.Lile ni taifa teule lilivushwa bahari ya shamu kwa muujiza wa kutisha na Mungu,kuna taifa lilishawahi kufanyiwa hivyo hapa duniani???kwanza hilo neno Israel tu wamepewa si na mwanadamu bali ni Mungu mwenyewe aliwapa kwa nini wasijisikie fahari??
.........alipiga na na mungu mieleka na akamshinda, maana mungu alibanwa mpaka akasemaa 'niachie niachie !'Ina maana hujui Israel maana yake ni nini?
Pole kwa kuukataa ukweli lakini ujue aikataaye kweli na hali kweli inaishi bas kweli hiyo humtafuna MTU huyoHizi imani za kishamba, taifa teule na sisi taifa letu ni la kawaida?
Nawakubali Israel kwa ubabe na msimamo, bhaaaas!
Baraka huwa hainyang'anywi ingekua ni nchi ya kawaida bas tungeshuhudia kudorola kwake lakini it was blessed!! It will hits their enemies for defending itself!!kun
nadhani ni kasumba tu kwa baadhi ya wafuasi wa yesu kudhani bendera ya kizayuni ya israeli inawakilisha israel ya ndani ya biblia takatifu. israel ya leo ni nchi ya mazayuni wabaguzi wakubwa. ni nchi sawa na apartheid south africa.
Ebu fuatilia vita yake na mataifa ya waarab!! Utajua Israel inafanya kujilinda au kufanya ubabe!! Arabs have no good!!lengo lao waitoe Israel ktk ramani ya middle east na hapo ndipo mnauona ubaya wa israelNakubaliana na wewe kwamba kuna watu kama wewe ambao mnaikubali tabia yake ya ubabe wake huko mashariki ya Kati.Lakini pia ukubali kwamba kuna watu wanaiona Israel kama "taifa teule" na hapa kuna utata kwani ni zaidi ya Itikadi za kisiasa bali tunakwenda hadi kwenye Itikadi za kidini.
Kuna watu wanaodhani kwamba Waisrael ni wakristo (kwa maana ya asilimia) lakini waisrael kwa asili hawaamini kama Yesu ni Masihi Mpakwa mafuta wa Bwana Mungu Yehova. Ndiyo maana wakati kuna baadhi ya Wakristo wanakwenda Hija Israel waisrael wenyewe wanawashangaa na kuwaona kama ni watalii wa kawaida wanaokwenda kutalii maeneo ya Kihistoria yasiyo na mashiko ya Kiimani.
Kama ambavyo kuna mtizamo hasi kwamba Wapalestina wote ni waislam, wakati wapalestina wapo na wakristo na wao pia wanaporomoshewa mabomu na waisrael kama wanavyopromoshewa wenzao waislam kwenye nchi yao!!
We ni nani hata umshangae mungu!! Najua utakua ni wale wanaofata kizazi cha ishmael .Hujui mungu kwann aliichagua Israel ni kwa sabab ktk Israel ndipo alikokuepo nabii alie mtii yy na akambariki !! Ni nguvu ya babu zao waliomchagua na kumtumikia mungu wakati waarab wakiabudu sanam na waafrika wakiabudu mizimu!! Leo unasema kwann aliwachagua ulitaka amchague bab yako aliekua anaabudu mizimu na majiniNa hapo ni ndipo ninaposhindwa kumshangaa mungu wenu anayewapanga watu kwa magroup.. Kwamba huyu in first class mja na huyu ni second class mja.. Tena huwapanga hivyo wala so kwa uchamungu wao ! Bali ni kutokana na kuzaliwa by chance katika taifa hilo tu ! What a miracle ![emoji57]
Najua dini yakoMbona hao waisraeli hawabebi bendera za Tanzania. Na haya mambo yanafanyka kwenye nchi za kiafrika maana Marekani PAMOJA NA ushosti wote na Israeli huwezi ona raia wake wakitembea na hizo bendera never ni sisi tu wafuata mkumbo bila kuelewa.
Halafu kuna kitu nakishangaa kwa hawa wakristo wanaobeba hizi bendera maana sio wote. Wanasena wanamuamini YESU Kristo but wanapeperusha bendera za watu wasiomuamini YESU kristo
Sasa wewe kwani nani kakwambia waisrael wote ni watakatifu!! Kuna waovu na wema vilevile!! Na huko hakuondoi baraka waliopewa!! Tena bora ya Israel kuliko waarabu or Arabs wamefanya biashara ya utumwa,kuua watu,na ndio taifa pekee kat ya makolon lililoing'ang'ania biashara ya kuuza watu had Leo nchini mwao utumwa wa mwafrika upo!! Halafu anawaletea dini mnapokea nyie mnaakili au matope yy alimjua Allah na bado alikua katil kauza watumwa,kuwatesa alikua hamjui Huyo Allah au??Nadhani wa AFRIKA TUNA ULEMAVU WA AKILI.....kila kukicha Waisrael wanandamana kuwaondoa watu weusi nchini mwao tena wengine mpaka wanawapiga....lakini huku AFRIKA KWA KULEWA IMANI ZA KISHENZI TUNALIITA TAIFA TEULE LA MUNGU.....ni MUNGU YUPI ALIYEWATEUA NA KUWAAGIZA KUWABAGUA BINAADAMU WENZAO......???
Huu ni zaidi ya ujinga na upumbavu walionao waafrika....