Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Bandiwe can you prove beyond doubt that Ibrahim was a Muslim? Can you show me any historical evidence of that prior to the life of Muhammad and prior Koran? What do you offer as evidence to trust Koran for us who don't?

I hope to hear answers to all my questions.
 

Historia ya dini ya Uislam ilianza karne ya 6 hadi 7 baada ya Kristo, na historia ya Dini ya kikristo ilianza miaka 2000 iliyopita. Hayo mengine mnayoyafahamu yanafungamana na dini zenu, ila maana halisi ya ukristo na uislamu ni huyo mtume (Mohammad) kwa Waislamu au Nabii (Yesu) kwa wakristo
 
Una uhakika Mungu hana mkataba na Israel kulingana na Biblia uliyoi refer? Well karudi usome tena Biblia yako kama unayo. Mungu ana agano la milele na Israel

Mkataba ulishaishaga, ndugu. sina maandiko stahiki, Ningeweza kukupatia, ila nilishawahi kusomaga hiyo habari na ushahidi wake upo katika biblia hiyohiyo takatifu. Na ndio maana mnaambiwa kuwa wale wanaojiita waisraeli wa sasa si hao walioandikwa katika biblia. agano lake ni la milele, ndio, na ndio maana amewaondoa wote.
hembu chunguza kwa makini kwa elimu ya duniani, historia ya taifa hili la Israeli ya sasa, utagundua wanatokea kwenye kabila moja la watu wenye asili ya ulaya mashariki, na sio Israeli ya Kwenye Biblia.
Ndio maana mnachanganyiwa maji na mafuta, huku mkiaminishwa kisicho sahihi. Na ndio maana Mungu akalalamika katikaa baadhi ya vitabu vyake vya dini akisema, "Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa" (Nadhani ipo kwenye ufunuo wa yohana)
 
Mkuu kama kuna kitu waisrael hawapendi basi watu weusi,,,aisee jamaa ni hatari sana yaani kama warusi,,,
 
NI KAWAIDA TU KAMA ZILIVYO PICHA ZA KINA OSAMA KWENYE MADALADALA.
 
Let me give you a hint. It was everlasting covenant not temporal. So when forever ends it will come to an end. Here are some verses.

13O ye seed of Israel his servant, ye children of Jacob, his chosen ones.

14He is the LORD our God; his judgments are in all the earth.

15Be ye mindful always of his covenant; the word which he commanded to a thousand generations;

16Even of the covenant which he made with Abraham, and of his oath unto Isaac;

17And hath confirmed the same to Jacob for a law, and to Israel for an everlasting covenant,

18Saying, Unto thee will I give the land of Canaan, the lot of your inheritance;

Another place: Genesis 17:7

And I will establish my covenant between me and thee and thy seed after thee in their generations for an everlasting covenant, to be a God unto thee, and to thy seed after thee.

Hope these two places settles it
 
Just one more point. Ni utovu wa nidhamu mbele za Mungu kusema Israel 'original' hawapo na hawa wa sasa ni 'geresha'. Kama upo kundi hilo soma mstari huu halafu ukatubu kwa kumfanya Mungu mwongo.

.

35Thus saith the LORD, which giveth the sun for a light by day, and the ordinances of the moon and of the stars for a light by night, which divideth the sea when the waves thereof roar; The LORD of hosts is his name:

36If those ordinances depart from before me, saith the LORD, then the seed of Israel also shall cease from being a nation before me for ever.
 
Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
Ndugu Israeli ni wale wote wanao;
1.Kiri kuwa Yesu kristo ni Bwana na mwokozi
2.Tenda yale yanayoendana na kweli ya Kristo Yesu wa Nazareth
Hivo hakuna taifa Takatifu lenye mipaka ila kuna taifa Takatifu linalokiri na kuheshimu agano jipya la ufufuo wa kristo Yesu kama sehemu ya utatu mtakatifu.
Kuweka bendera ya wauaji amboa walipewa nafasi kuuwa laana (soma mwanzo 9 kisha unganisha matukio) haina tija na uhusiano wa imani yako katika Kristo bali huo ni upagani.
Kumbuka ufalme wa Mungu utarithiwa na wenye nguvu-Nguvu sio za kuuwa bali kwa upendo tena kwa amri iliyo kuu mpende Mungu wako ....na yapili tena ya fanana nayo ni mpende jirani yako...
Now who has a strongest army in the Middle East?Kiling who?
Ewe Mkristo amka sasa -angali mapema hakika saa yaja...
Christ has nothing to do with ME oil!
Nakushauri kila siku waombee israeli na sio kuweka bendera jews kama taifa.maana taifa letu la israeli halina bendera bali lina tambulika kwa matendo mema kama alivo mwenyewe Kristo Yesu wa Nazareth.
Amina.
 
Ndugu Israeli ni wale wote wanao;
1.Kiri kuwa Yesu kristo ni Bwana na mwokozi
2.Tenda yale yanayoendana na kweli ya Kristo Yesu wa Nazareth

Amina.
Umeitoa Biblia gani hii? Hebu pitia comments zangu hapo juu. Israel itabakia kuwa taifa la Israeli milele. Kama Mungu aliapa hivyo ni lini ligeuka na kubadilisha gia? Huoni unamfanya Mungu kuwa mwongo?
 
Umeitoa Biblia gani hii? Hebu pitia comments zangu hapo juu. Israel itabakia kuwa taifa la Israeli milele. Kama Mungu aliapa hivyo ni lini ligeuka na kubadilisha gia? Huoni unamfanya Mungu kuwa mwongo?
Ndio maana Yesu aliuliza "Punda wako akitumbukia shimoni siku ya sabato hutomtoa"Kimsingi Bible ipo coded lazima uwe na decoder-decoder ni Roho Mtakatifu
 
Ndio maana Yesu aliuliza "Punda wako akitumbukia shimoni siku ya sabato hutomtoa"Kimsingi Bible ipo coded lazima uwe na decoder-decoder ni Roho Mtakatifu
Unamaanisha Mungu aliposema milele hakumaanisha milele? Au unataka kusema Mungu anaposema kuna Mbingu ni code for what? Unakoelekea kubaya aisee. Hiyo aina ya utafsiri wa Biblia haifai na kwa ushauri tu bora uachane nayo.

Kwa taarifa tu Mungu husema anachomaanisha na humaanisha anachosema. Hizo code sijui vitu gani hana. Mungu alimwambia Nuhu kuwa ajenge safina na dunia itagharikishwa. Ilikuwa rahisi kama hivyo. Na Dunia iligharikishwa. Mungu alisema atambariki Ibrahimu naye atakuwa baba wa Mataifa. Hakukuwa na code hapo. Kwamba Kuna Mbingu na Jehanamu hakuna code. Kwamba Israel ni taifa ambalo Mungu amelichagua milele ni plain na hakuna code.

Na mwisho kukusaidia tu huo mstari hauna uhusiano na Israel wala hakuna code hapo. Yesu alikuwa akipambana na Mafarisayo ambao waliamu kuihalifu Amri ya Mungu wakifuata maagizo ya wanadamu. Ilikuwa ni issue tofauti, katika muktadha tofauti na kimantiki hukuapaswa hata kuiweka hapa. Unamsingizia Roho Mtakatifu kuwa ni decoder. Unapaswa kutubu. Roho sio decoder yako na unapaswa ujue kazi anayoifanya Roho Mtakatifu badala ya kusingizia.

All in all ninachokiona kwako na wengi humu ndani ni kuwa mnaandika ambavyo mefundishwa/kumezeshwa au kuambiwa. Ni wachache wanapost wanachokijua ambacho wamekisoma na kukifahamu.
 

....... Yeye Mwenyezi Mungu alikuiteni Waislaam tangu zamani (katika Vitabu vya awali -Zaburi, Tourat na Injil) na katika Qur'an hii pia.
Qur'an: 22:78.
Charlie One acha blaah blaah !
 
Mwingine tena huyu anayejua Mungu huwa anafanya nini? naye aitwe Mtume hiki anafanya na hiki hafanyi... Binadamu ni balaa wanajua hadi Mipango ya Mungu... huku hajui huyo Mungu anaitwaje na ni Mungu wa kitu Gani.... Maana Mungu ni Cheo tu au Wadhifa fulani ndio maana Wameandikwa wapo Wengi na Miungu ya kale ilikuwa na sifa na sifa zake wapo Mungu wa Radi,Mungu wa Huzuni,Mungu wa Vita n.k

Wewe jina kama Tongo tongo wajua Mipango ya Mungu ati alipanga kutumia Taifa???? Swali ambalo Wakristo hawawezi Jibu ni Mungu wao ni yupi na Anaitwa nani? maana kila Mungu katika Mataifa yote alikuwa na Jina lake na uwezo wake wa kumfanya aitwe Cheo cha Mungu... ila wewe hakika hujui au hufuati practice za Mungu yeyote sawa sawia so ni mpotovu tu acha kuingilia issue nzito...
 
Aisee. Ni hasira ulevi au matatizo ya akili? Unahitaji msaada.
 
Aisee. Ni hasira ulevi au matatizo ya akili? Unahitaji msaada.
Wewe ndio utakuta usali na kujiita mtu wa Dini na Mcha Mungu na hapa JF unashuhudia Uongo... ulevi hapa ni upi? na Matatizo ya akili ni yapi? Watu wa Dini siku zote ndio wakorofi na wasio amini hadith huwa wapo huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…