Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam ba alaki na ba alamuAlaaniwe atakaye ilaani Islael na Abarikiwe atayeibariki Islael...
Wewe ndio mkweli au Qur'an !? ILAN RAMON
'Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislaam, wala hakuwa katika washirikina (waabudu masanamu)
Wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale waliomfuata yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa Waumini.
Qur'an: 3:67-68.
Una uhakika Mungu hana mkataba na Israel kulingana na Biblia uliyoi refer? Well karudi usome tena Biblia yako kama unayo. Mungu ana agano la milele na Israel
Mkuu kama kuna kitu waisrael hawapendi basi watu weusi,,,aisee jamaa ni hatari sana yaani kama warusi,,,Waungwana kuna mambo maishani huwa yanapotazamwa humuachia mtazamaji kila aina ya tafakuri kichwani mwake. Ndani ya miaka kadhaa ya hivi karibuni, kumezuka tabia ya watu kuitundika bendera ya Israel kwenye sehemu ya chini ya kioo cha ndani ya gari, kile ambacho dereva hukitumia kutazama magari yanayokuja kutokea nyuma ya gari.
Mwanzoni nilidhani ni mahaba binafsi ya mtu mmoja, lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo ambavyo mashabiki wa bendera hiyo maarufu duniani, walivyozidisha tabia hiyo.
Huwa najiuliza kama Waisrael na wao wanayo tabia ya kuitundika bendera ya Tanzania, katika sehemu ile ile ambayo sisi tunaitundika bendera yao ndani ya magari yetu. Huwa najaribu kujiuliza iwapo Mtanzania anayekatiza katika mitaa ya Jerusalem au Tel Aviv anaweze kukutana na gari ambalo ndani yake kuna bendera ya Tanzania imetundikwa, na muisrael akiendesha gari huku akiufurahia uwepo wa bendera yetu.
Haya ni mawazo yangu, kwani tabia hii imenifanya nijiulize iwapo upendo unaotoka mioyoni mwetu kuelekea kwa Waisrael, unaweza na wenyewe kuwa unathaminiwa na Waisrael bila ya sisi Watanzania kujua ni jinsi gani tunavyothaminiwa.
NI KAWAIDA TU KAMA ZILIVYO PICHA ZA KINA OSAMA KWENYE MADALADALA.Waungwana kuna mambo maishani huwa yanapotazamwa humuachia mtazamaji kila aina ya tafakuri kichwani mwake. Ndani ya miaka kadhaa ya hivi karibuni, kumezuka tabia ya watu kuitundika bendera ya Israel kwenye sehemu ya chini ya kioo cha ndani ya gari, kile ambacho dereva hukitumia kutazama magari yanayokuja kutokea nyuma ya gari.
Mwanzoni nilidhani ni mahaba binafsi ya mtu mmoja, lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo ambavyo mashabiki wa bendera hiyo maarufu duniani, walivyozidisha tabia hiyo.
Huwa najiuliza kama Waisrael na wao wanayo tabia ya kuitundika bendera ya Tanzania, katika sehemu ile ile ambayo sisi tunaitundika bendera yao ndani ya magari yetu. Huwa najaribu kujiuliza iwapo Mtanzania anayekatiza katika mitaa ya Jerusalem au Tel Aviv anaweze kukutana na gari ambalo ndani yake kuna bendera ya Tanzania imetundikwa, na muisrael akiendesha gari huku akiufurahia uwepo wa bendera yetu.
Haya ni mawazo yangu, kwani tabia hii imenifanya nijiulize iwapo upendo unaotoka mioyoni mwetu kuelekea kwa Waisrael, unaweza na wenyewe kuwa unathaminiwa na Waisrael bila ya sisi Watanzania kujua ni jinsi gani tunavyothaminiwa.
Let me give you a hint. It was everlasting covenant not temporal. So when forever ends it will come to an end. Here are some verses.Mkataba ulishaishaga, ndugu. sina maandiko stahiki, Ningeweza kukupatia, ila nilishawahi kusomaga hiyo habari na ushahidi wake upo katika biblia hiyohiyo takatifu. Na ndio maana mnaambiwa kuwa wale wanaojiita waisraeli wa sasa si hao walioandikwa katika biblia. agano lake ni la milele, ndio, na ndio maana amewaondoa wote.
hembu chunguza kwa makini kwa elimu ya duniani, historia ya taifa hili la Israeli ya sasa, utagundua wanatokea kwenye kabila moja la watu wenye asili ya ulaya mashariki, na sio Israeli ya Kwenye Biblia.
Ndio maana mnachanganyiwa maji na mafuta, huku mkiaminishwa kisicho sahihi. Na ndio maana Mungu akalalamika katikaa baadhi ya vitabu vyake vya dini akisema, "Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa" (Nadhani ipo kwenye ufunuo wa yohana)
Ndugu Israeli ni wale wote wanao;Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
Umeitoa Biblia gani hii? Hebu pitia comments zangu hapo juu. Israel itabakia kuwa taifa la Israeli milele. Kama Mungu aliapa hivyo ni lini ligeuka na kubadilisha gia? Huoni unamfanya Mungu kuwa mwongo?Ndugu Israeli ni wale wote wanao;
1.Kiri kuwa Yesu kristo ni Bwana na mwokozi
2.Tenda yale yanayoendana na kweli ya Kristo Yesu wa Nazareth
Amina.
Nakupa pole sana....kondoo usiejielewa.Taifa lililolaaniwa laweza kuwa Afghanistan au Somalia nadhani ila Israel ni taifa linalostawi
Ndio maana Yesu aliuliza "Punda wako akitumbukia shimoni siku ya sabato hutomtoa"Kimsingi Bible ipo coded lazima uwe na decoder-decoder ni Roho MtakatifuUmeitoa Biblia gani hii? Hebu pitia comments zangu hapo juu. Israel itabakia kuwa taifa la Israeli milele. Kama Mungu aliapa hivyo ni lini ligeuka na kubadilisha gia? Huoni unamfanya Mungu kuwa mwongo?
Unamaanisha Mungu aliposema milele hakumaanisha milele? Au unataka kusema Mungu anaposema kuna Mbingu ni code for what? Unakoelekea kubaya aisee. Hiyo aina ya utafsiri wa Biblia haifai na kwa ushauri tu bora uachane nayo.Ndio maana Yesu aliuliza "Punda wako akitumbukia shimoni siku ya sabato hutomtoa"Kimsingi Bible ipo coded lazima uwe na decoder-decoder ni Roho Mtakatifu
Historia ya dini ya Uislam ilianza karne ya 6 hadi 7 baada ya Kristo, na historia ya Dini ya kikristo ilianza miaka 2000 iliyopita. Hayo mengine mnayoyafahamu yanafungamana na dini zenu, ila maana halisi ya ukristo na uislamu ni huyo mtume (Mohammad) kwa Waislamu au Nabii (Yesu) kwa wakristo
Mwingine tena huyu anayejua Mungu huwa anafanya nini? naye aitwe Mtume hiki anafanya na hiki hafanyi... Binadamu ni balaa wanajua hadi Mipango ya Mungu... huku hajui huyo Mungu anaitwaje na ni Mungu wa kitu Gani.... Maana Mungu ni Cheo tu au Wadhifa fulani ndio maana Wameandikwa wapo Wengi na Miungu ya kale ilikuwa na sifa na sifa zake wapo Mungu wa Radi,Mungu wa Huzuni,Mungu wa Vita n.kKati ya pointi ambazo watu wanazikosa ni kudhani kuwa Mungu aliichagua Israel ksa sababu wao ni bora. La hasha. Mungu alikuwa na mpango wake na wanadamu na alipanga atatumia taifa la wanadamu moja. Sasa kwa Mamlaka yake akawachagua Israel japo aliwajua wana shingo ngumu na wana matatizo mengi kama tulivyo wanadamu wengine.
Kwa kuchaguliwa kwao walibeba responsibility kubwa kama adhabu za papo kwa papo zikiwemo vifo vya maelfu mara moja. Lakini pia walipata neema ya kuwa na baadhi ya vitu vya ziada. Muda mwingi tunaongea kuhusu baraka zao but machungu yao yanayotokana na responsibility ya kuchaguliwa kwao kama tanuru, a Auswichtz hatuziongelei.
Kwa nini Mungu awateue wao kwa mpango wake? Hilo swali kamwulize Mungu mwenyewe kama una mamlaka hayo. Mimi sina!
Aisee. Ni hasira ulevi au matatizo ya akili? Unahitaji msaada.Mwingine tena huyu anayejua Mungu huwa anafanya nini? naye aitwe Mtume hiki anafanya na hiki hafanyi... Binadamu ni balaa wanajua hadi Mipango ya Mungu... huku hajui huyo Mungu anaitwaje na ni Mungu wa kitu Gani.... Maana Mungu ni Cheo tu au Wadhifa fulani ndio maana Wameandikwa wapo Wengi na Miungu ya kale ilikuwa na sifa na sifa zake wapo Mungu wa Radi,Mungu wa Huzuni,Mungu wa Vita n.k
Wewe jina kama Tongo tongo wajua Mipango ya Mungu ati alipanga kutumia Taifa???? Swali ambalo Wakristo hawawezi Jibu ni Mungu wao ni yupi na Anaitwa nani? maana kila Mungu katika Mataifa yote alikuwa na Jina lake na uwezo wake wa kumfanya aitwe Cheo cha Mungu... ila wewe hakika hujui au hufuati practice za Mungu yeyote sawa sawia so ni mpotovu tu acha kuingilia issue nzito...
Wewe ndio utakuta usali na kujiita mtu wa Dini na Mcha Mungu na hapa JF unashuhudia Uongo... ulevi hapa ni upi? na Matatizo ya akili ni yapi? Watu wa Dini siku zote ndio wakorofi na wasio amini hadith huwa wapo huruAisee. Ni hasira ulevi au matatizo ya akili? Unahitaji msaada.
Mbona hamswali kama Wayahudi?View attachment 341110
....... Yeye Mwenyezi Mungu alikuiteni Waislaam tangu zamani (katika Vitabu vya awali -Zaburi, Tourat na Injil) na katika Qur'an hii pia.
Qur'an: 22:78.
Charlie One acha blaah blaah !