Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Kama mtanzania ameikana bendera ya nchi yake akiwa hapa nchini kwake, unategemea uisrael aipeperushe akiwa israel? Labda atakuwa na matatizo ya akili, kwa kipi sana sana watapeperusha bendera ya Kenya maana ndiko kwenye vitu vizuri Arfika mashariki hii.
 
Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida

Huyo aliyeliteuwa hilo Taifa ina maana aliwapa na hiyo Bandera, kwamba ndiyo alama ya Uteuzi wake kwa hilo Taifa?

Au Bendera walijitengenezea wenyewe wateule?
 
Taifa teule lake Mungu ni Israel pekee! Kwa ujumla tunakubaliana na matendo yao!!


Na Mungu awape Israel nguvu siku zote!
 
Matendo gani:
1) Kumuita Yesu mwanaharamu wa Pantera askari wa Roma? Na Maryamu ni malaya kwa kuwa amezaa nje ya ndoa?

2) Kwa kusema Yesu sio Masihi jwa sababu Masihi ni lazima atokane na mnyororo wa ubabani kuanzia uzao Mtume Daudi?

3) Kuwa Yesu ni mwizi na hukumu yake atachomwa katika urojo wa manii ya moto

Soma marejeo kutoka Sanhedrin


Might is not right
 
Mahamuzi yako hata wewe unaweza ukaweka bendera ya chaga -dema au CUF
 
Kuna wakati miaka ya 1970.... tulikua tukivaa beji zenye picha ya Mao Ztung raisi wa China miaka ile, tuliva picha za Che Guavera, Fidel Castro na tulikua wengi, katika hapa nchi ilizagaa bendera za US lakini yote yamepita kuna wakati tulikua na bendera ya Jamaica na picha ya Bob Marley ni vitu vya mpito ni kama fashion zinakuja na kutoweka
 
Hizi imani za kishamba, taifa teule na sisi taifa letu ni la kawaida?
Nawakubali Israel kwa ubabe na msimamo, bhaaaas!


Tatizo Watz tushazoea kujikomba. Sisi hatujioni ni kitu bali cha watu ndio tunakiona cha thamani.
Ni sawa na wazungu tunavyowatukuza na wahindi...Wkt wao huko kwao hata hawakufikirii wala kukuwaza unanyanyapaliwa tuu...
Watanzania kama tumelaanika vileeee
 
Mi naona na sie tuandike kitabu chetu, tuseme Tanzania ni Taifa teule, twende tukauhubirie ulimwengu, labda na sie tutapata watakaoamini kuwa Taifa letu ni teule!
 
OTE="number41, post: 15436048, member: 303544"]Sidhani kama wazungu wanaonunua kacha za kibongo zenye rangi ya bendera ya tanzania wamepoteza identity yao pia nimewai ona wazungu ulaya wengi tu tena uingereza na marekan wamevaa flana ya bendera ya tanzania sijui wamepoteza identity yao au kisa we unachuki zako binafsi nimewai fanya kaz ya kutafuta flana za kacha ya ramani ya tanzania kwaajili ya wazungu wanataka je walitaka kwaajili ya nn mbona apo umevaa flana ndani ina rebo ya italy umeona mbona ujavua uvae ya fundi wa kibongo ahahahahahahaha acha ushamba bana[/QUOTE]

JF sio danguro, unaingia tu kwa kuwa unapesa basi unapata uchi. Jitahidi kusoma na kuelewa kabla ya kuchangia. Lengo kubwa hapa kueliminisha sio kuonesha nani anajua. Au ulita kuonesha umewahi kuishi ulaya? na unajua wazungu wanapenda "kacha" ya Tanzania? Production label is for marketing. people wear garments from across the globe, and for your information, that erodes identity too. Language, food, cloths etc. depict identity, culture and ideology. This is why, for exmaple, some professions have official dressing codes and colours. Look, for example, at doctors and nurses, priest, laboratory technicians etc.

You should never let your faith contaminate your reasoning. We need constractive contributions not "hahahahahaha", what would I learn from "hahahahha".
 
Ila
ila ya israel ni ya kudumu
 
waaulize waarabu waliopigwa siku6
 
Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
Sasa wale wanaoweka bendera ya marekani nao wanaashiria uteule wa nchi hiyo!?
 
Huku mbeya mkuu naona vipeperushi vya TB joshua ndo vinauza mkuu!kila anayenunua kagar lazima kioo cha nyuma aweke stika hiyo,nashindwa elewa watanzania tunaweka hizi bendera kwa kujua maana zake???mapenz na nchi hizo???au ulimbukeni tu kwa kuwa flani kaweka???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…