Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

.....Hapa kuna suala la imani kutoka kitabu cha kijulikanacho kama biblia takatifu. Waamini katika kitabu hicho wanaamini kuwa israeli ni taifa teule, na endapo mtu atalisema vibaya mungu wa israeli atamuadhibu kwa mapigo ya laana yeye na familia yake wakiwa hapa duniani na huko ahera. Hadithi inachangia waamini sana watu kuunga mkono israeli. Upeperushaji bendera ni njia moja ya kuikubali hadithi ya uteule wa israeli. Makanisa kama ya Gwajima, Lusekelo (kuyataja kwa uchache), yanaweka bendera za israel mbele kama mapambo....
kama kuna kitu ambacho nakishangaa zaidi, ni pale mtumishi wa Mungu anapoamua jambo ambalo hana maarifa nalo kidini. Mungu anayeabudiwa na Makanisa yote hana mkataba na israeli ya sasa, na ndio maana akaisambaratisha yote, (refer WW II). hizi ni nguvu tuu za Marekani na Umagharibi katika kuinyanyua imani yake ya kuipoteza dunia.
Ujio wa Yesu ni kuwakomboa mataifa, na sio israeli, na ndio maana israeli walikuwa mstari wa mbele kumsulubu, akafa, na siku ya tatuu....
Angalia kwanza bendera ya nchi yenyewe....kuna pembe tatu mbili zilizoungana. ni nini hiko? Mbona inafanana na nembo za kishetani? kama ni nyota asilia kama walioiona mamajusi, haiko hivyo! na kwanini mumarekan asimamie ulinzi wa taifa teule la Mungu? Ina, maana Mungu akubali taifa lake teule lilindwe na Shetani?
Mjiongeze, Msije angamia kwa kukosa maarifa.
 
kwanini ulimsikiliza Mtumishi mjinga na muongo.... hana akili pia.... hajui kuwa vizazi vya waisrael ndio hivyo hivyo hadi leo hii....

sina haja ya kuendelea kusoma zaidi. Una uthibitisho gani wa kutuaminisha kuwa israeli ya kwenye biblia ndi hiyo iliyopo sasa?

Hitler aliwaalika nchini kwake kwa wingi na kuwasambaratisha wote kwa mauaji, hadi kkufikia 1945, hakuna taifa liitwalo israeli.
ni makosa zaidi kumshuhudia jirani yako uongo, hasa mtumishi wa dini mwenye uelewa zaidi yako kiimani na kifikra. Huyo mtumishi kakuzidi kila kitu, alafu bado unabisha ujinga. Thibitisha kwanza, maana kuna vingi sana hauvifahamu"
 
kama kuna kitu ambacho nakishangaa zaidi, ni pale mtumishi wa Mungu anapoamua jambo ambalo hana maarifa nalo kidini. Mungu anayeabudiwa na Makanisa yote hana mkataba na israeli ya sasa, na ndio maana akaisambaratisha yote, (refer WW II). hizi ni nguvu tuu za Marekani na Umagharibi katika kuinyanyua imani yake ya kuipoteza dunia.
Ujio wa Yesu ni kuwakomboa mataifa, na sio israeli, na ndio maana israeli walikuwa mstari wa mbele kumsulubu, akafa, na siku ya tatuu....
Angalia kwanza bendera ya nchi yenyewe....kuna pembe tatu mbili zilizoungana. ni nini hiko? Mbona inafanana na nembo za kishetani? kama ni nyota asilia kama walioiona mamajusi, haiko hivyo! na kwanini mumarekan asimamie ulinzi wa taifa teule la Mungu? Ina, maana Mungu akubali taifa lake teule lilindwe na Shetani?
Mjiongeze, Msije angamia kwa kukosa maarifa.
Una uhakika Mungu hana mkataba na Israel kulingana na Biblia uliyoi refer? Well karudi usome tena Biblia yako kama unayo. Mungu ana agano la milele na Israel
 
Kati ya pointi ambazo watu wanazikosa ni kudhani kuwa Mungu aliichagua Israel ksa sababu wao ni bora. La hasha. Mungu alikuwa na mpango wake na wanadamu na alipanga atatumia taifa la wanadamu moja. Sasa kwa Mamlaka yake akawachagua Israel japo aliwajua wana shingo ngumu na wana matatizo mengi kama tulivyo wanadamu wengine.

Kwa kuchaguliwa kwao walibeba responsibility kubwa kama adhabu za papo kwa papo zikiwemo vifo vya maelfu mara moja. Lakini pia walipata neema ya kuwa na baadhi ya vitu vya ziada. Muda mwingi tunaongea kuhusu baraka zao but machungu yao yanayotokana na responsibility ya kuchaguliwa kwao kama tanuru, a Auswichtz hatuziongelei.

Kwa nini Mungu awateue wao kwa mpango wake? Hilo swali kamwulize Mungu mwenyewe kama una mamlaka hayo. Mimi sina!
 
Walikuwa wayahudi kwa maana wakati hio sio ukristu wala uislam uliokwepo

Wewe ndio mkweli au Qur'an !? ILAN RAMON

'Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislaam, wala hakuwa katika washirikina (waabudu masanamu)
Wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale waliomfuata yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa Waumini.
Qur'an: 3:67-68.
 
Una angaika sana hata uweke haya zote za Quran .haitusaidii kitu ndo maana hatusomagi ila mnahangaika Kosoma bible had nyumbani mnavyo .huyo ibrahim mlim copy na kubadilisha mambo
...mwenzako kasema Ibrahim ni mzinifu (astaghfirr !) post 253 by ILAN RAMON ila Qur'an inasema ni mtu mwema ! na hakuwa mkiristo wala myahudi (Q:3:67-68) nyiokunda
 
...mwenzako kasema Ibrahim ni mzinifu (astaghfirr !) post 253 by ILAN RAMON tena mwanae kamuita mwanaharamu, ila Qur'an inasema ni mtu mwema ! na hakuwa mkiristo wala myahudi (Q:3:67-68) nyiokunda
Nabii anakuwaje mzinifu ? ....... ni kafiri pekee ndiye anaye thubutu kumtukana Nabii kama walivyokuwa Wayahudi ni mabingwa wa kuwakanusha na kuwaua manabii
 
Wewe ndio mkweli au Qur'an !? ILAN RAMON

'Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislaam, wala hakuwa katika washirikina (waabudu masanamu)
Wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale waliomfuata yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa Waumini.
Qur'an: 3:67-68.

Sasa unanilazimisha Qurani?mimi sikiamini kitabu chako mkuu naangalia uhalisia walaa situmii references za vitabu vya dini,uislam una miaka1430 hivi ukristu miaka 2000 na kidogo Abraham kaishi miaka 4000 sitaki ubishi usio na vigezo Abraham ni myahudi
 
Mkuu ni kweli kabisa bendera ya Israel imepepea kwenye magari mengi lakini kumbuka Israel ni Taifa teule kama vitabu vitakatifu vinavoeleza wakati Tanzania au hispania ni mataifa ya kawaida
Dah.. Israel hii ya sasa au ya zamani? Mungu gani huyo mwenye ubaguzi? Sasa wewe mbongo unahangaika na nini wakati tayari wapo walioteuliwa tayari?😕
 
Sasa unanilazimisha Qurani?mimi sikiamini kitabu chako mkuu naangalia uhalisia walaa situmii references za vitabu vya dini,uislam una miaka1430 hivi ukristu miaka 2000 na kidogo Abraham kaishi miaka 4000 sitaki ubishi usio na vigezo Abraham ni myahudi
Kigezo chako nini sasa !? ...maaana Ibrahim mwenyewe hajakwambia wewe kuwa yeye ni mkiristo (wakiristo ni jina walilopewa wanafunzi wa Paulo pale Antiokya) na myahudi pia hakuna mahali katika Biblia panasema hivyo.
 
Dah.. Israel hii ya sasa au ya zamani? Mungu gani huyo mwenye ubaguzi? Sasa wewe mbongo unahangaika na nini wakati tayari wapo walioteuliwa tayari?😕
Akili ndogo inaongoza akili kubwa ..... maneno ya Mchungaji haya !
 
Taifa lililolaaniwa laweza kuwa Afghanistan au Somalia nadhani ila Israel ni taifa linalostawi
Kuna Mataifa yalipiganisha Vita Dunia nzima, tena mara mbili. Mpaka babu yangu alipigana hivyo vita !
Wenyewe waliita 'WW1, WW2 (World War 1 na World War 2) hao laana yao itakuwaje !?? ILAN RAMON
 
Back
Top Bottom